Nauza gari OPA kwa Milioni 6

Nauza gari OPA kwa Milioni 6

Mtumwa baniani

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
128
Reaction score
26
Habari
gani wakuu? Nina Gari aina ya OPA nayouza kwa milioni 6. Ni ya mwaka
2002, Haina tatizo lolote la kiufundi, Namba zake ni BEX na ina vibali
vyote. Pia mazungumzo yapo kutokana na uhitaji mkubwa wa pesa nilionao.
Mwenye kuihitaji ani PM
 
Picha mkuu, halafu ata haujataja specification zake....imekwenda km ngap, ukubwa wa engine nk
 
Picha please!

habari gani wakuu? Nina gari aina ya opa nayouza kwa milioni 6. Ni ya mwaka 2002, haina tatizo lolote la kiufundi, namba zake ni bex na ina vibali vyote. Pia mazungumzo yapo kutokana na uhitaji mkubwa wa pesa nilionao.
Mwenye kuihitaji anipigie kwa namba 0686555726
 
Habari
gani wakuu? Nina Gari aina ya OPA nayouza kwa milioni 6. Ni ya mwaka
2002, Haina tatizo lolote la kiufundi, Namba zake ni BEX na ina vibali
vyote. Pia mazungumzo yapo kutokana na uhitaji mkubwa wa pesa nilionao.
Mwenye kuihitaji anipigie kwa namba, 0686555726
imetembea kilometer ngapi?
 
Back
Top Bottom