Nauza gari nadia namba D, bei million 13

Nauza gari nadia namba D, bei million 13

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2008
Posts
756
Reaction score
696
Wadau nauza gari langu mwenyewe namba DCJ.Liko katika hali nzuri, linatembea .Nina dharura bei Million 13.
Colour - Silver.
km - 72000.

20170719_075616.jpg

20170719_075618.jpg

20170727_070825.jpg
20170727_070836_001.jpg

20170727_070846.jpg

20170727_070850.jpg
 
NADIA D4 kupata mteja wa 13M inabidi ukatoe sadaka..mostly 8M at upper side and 6 M at lower side
 
USHAURI KWA MUUZAJI
Ushauri wa BURE ukitaka kuuza gari ni vzr ukaangalia thamani ya gari jipya, thamani ya soko kwa sasa, muda uliolitumia, na hali ya uchumi kwa sasa.

Ukiangalia ktk mitandao hilo gari ukiagiza kutoka Japan FoB ni USD 700 - 1300, hadi bandarini max itakuwa USD 1800 -3300, kwa hiyo max price nakadiria 6Mil, Na Kodi ya hii gari ni Mil 4.8 haizidi hapa, roughly total price mil 8.5 -11, pili kwa gari zenye engine ya D4 huwa engine yake inasumbua mara nyingine mf.RAV4, Toyota Corona Premio.

Kwa hiyo hiyo bei itathimini na kuweka bei ambayo unaweza kuuza kwa dharura!
Wako Mshauri wa Bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom