Car4Sale Nauza gari 2,200,000/=

Frank jb

JF-Expert Member
Jun 3, 2014
418
120
Habari zenu wapendwa,

Naitwa Frank, nauza gari yangu aina ya Toyota Chasser Raffine, rangi ya dark blue, haidaiwi TRA wala insurance, ukinunua unawasha na kuondoka nayo kwakuwa aina tatizo lolote la kiufundi.

Hapo zamani ilikuwa ina engine ya 6 ila kwa sasa ina engine ya 4 cylinder, ulaji wake wa mafuta upo vizuri na gari ni ya yangu mwenyewe na kadi yake ninayo na gari hii nina muda nayo wa miezi 7 mpaka sasa ninaitumia mwenyewe kutoka nayo nyumbani kwangu Goba hadi kazini kwangu Kinondoni.

Gari hii ipo Dar es salaam na ninaiuza kwa bei ya Tshs. 2,200,000/= (milioni mbili na laki mbili) pungufu unaongea! (nimeambatanisha na picha).

Namba yangu ya simu ni 0716 00 23 23.
 

Attachments

  • SAM_1861.JPG
    SAM_1861.JPG
    188.1 KB · Views: 297
  • SAM_1860.JPG
    SAM_1860.JPG
    186.7 KB · Views: 220
(Picha zingine hizo hapo)
 

Attachments

  • SAM_1858.JPG
    SAM_1858.JPG
    205.8 KB · Views: 192
  • SAM_1859.JPG
    SAM_1859.JPG
    181.8 KB · Views: 164
  • SAM_1857.JPG
    SAM_1857.JPG
    278.9 KB · Views: 173
  • SAM_1856.JPG
    SAM_1856.JPG
    137.2 KB · Views: 159
  • SAM_1855.JPG
    SAM_1855.JPG
    129.9 KB · Views: 137
  • SAM_1854.JPG
    SAM_1854.JPG
    186.7 KB · Views: 166
  • SAM_1853.JPG
    SAM_1853.JPG
    227.6 KB · Views: 149
  • SAM_1852.JPG
    SAM_1852.JPG
    213.6 KB · Views: 148
  • SAM_1851.JPG
    SAM_1851.JPG
    211.1 KB · Views: 128
  • SAM_1850.JPG
    SAM_1850.JPG
    220.6 KB · Views: 150
Mmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
Kwa anayejua magari, gari kama hilo hauwezi kuiuza zaidi ya milion 3 kwakuwa ni ya zaman ila kwa ubora ni gari ngumu sana watu wa mikoani wanazijua, na nimeweka bei hiyo kwakuwa mimi ndio mmiliki sina bei za tamaa ndo maana gari zote niliouza humu bei zangu huwa ni rahisi ila nikibugi kumpa dalali aniuzie ndo ataanzia milioni 4 ili na yeye apate!
 
Hii gar nzur sana nilikuwa nayo miaka 3 iliyopita. Vip ni auto au manual?

Duc in Altum
 
Kwa anayejua magari, gari kama hilo hauwezi kuiuza zaidi ya milion 3 kwakuwa ni ya zaman ila kwa ubora ni gari ngumu sana watu wa mikoani wanazijua, na nimeweka bei hiyo kwakuwa mimi ndio mmiliki sina bei za tamaa ndo maana gari zote niliouza humu bei zangu huwa ni rahisi ila nikibugi kumpa dalali aniuzie ndo ataanzia milioni 4 ili na yeye apate!

Hapo dar ni dubai? sio mkoa?
 
bado haujakua na ukikua utaacha na hii ni gari yangu ya tatu kuuza humu kwa bei kama hizo na kitu kinachokusumbua ni umaskini wa fikra!
Hongera kwa kudhani kila anayesema tofauti na unavyofikiri basi ni mtoto...

Anyway weka gari ya mwaka gani..
Weka lini gari limeingia Tanzania...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom