Nauza friji yenye milango miwili

Nauza friji yenye milango miwili

kipese0306

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
49
Reaction score
15
Aina ya Fridge: Hot point
Ni second hand but in a good condition
Bei: 320,000
Eneo:Tabata mawenzi(shiba)
Colour:White
contact:255682 767 711
 
Picha tuone...usikute ndio zile zinazotumia umeme units 10 kwa siku
 
Duuh! Kweli Magu kabana, tusio na viwanja vya kuuza wala magari bora tu tuuze vitu vya ndani... Mimi mwenyewe niko na water dispenser naiuza... Mwenye efu sitini aje aichukue...
 
Kwa maana hamna namna. Hahaha
 
Duuh! Kweli Magu kabana, tusio na viwanja vya kuuza wala magari bora tu tuuze vitu vya ndani... Mimi mwenyewe niko na water dispenser naiuza... Mwenye efu sitini aje aichukue...
Mkuu naitaka, kapicha vipi
 
Duuh! Kweli Magu kabana, tusio na viwanja vya kuuza wala magari bora tu tuuze vitu vya ndani... Mimi mwenyewe niko na water dispenser naiuza... Mwenye efu sitini aje aichukue...
....Mkuu Kodofan nipigie 0713 590607... Tufanye biashara
 
Back
Top Bottom