Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,656
- 28,830
Karibu.
Asante mkuu
Asante mkuu
mpaka uje ujibiwe hayo maswali yako ya nyongeza jamaa atakua ameshafika mbeya na kanunua vingine.washing machine ni kilo ngapi?
Ni manual au automatic?
Ni ya kuunganisha Maji kwa mpila au ni ya kummina na ndoo
Na je imetumika mdagan!?
Je ilishawah kwenda kwa Fundi!?
Na je inatatzo lolote(bila kujali udogo Wa tatizo )?
Na je list ya manunuzi yake unayo!?
Kwani kamlazimisha mkuu? Pengine muuzaji hakuwa na wazo kama hili huon kama kamsaidia maana sababu za kuuza zipo wazi na si kwamba ni shida ya pesa.Dah Jamaa hajaomba ushauri wewe unatoa ushauri,Jamaa anauza mali yake halali na kwake hiyo uenda ndio best option wewe unamshauri asiuze, hii huruma huruma ya Kitanzania ndio inatukwamisha sana kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla Aisee,maana kila Mtanzania anajua best option ya mtanzania mwenzake hata kama hamjui.
washing machine ni kilo ngapi?
Ni manual au automatic?
Ni ya kuunganisha Maji kwa mpila au ni ya kummina na ndoo
Na je imetumika mdagan!?
Je ilishawah kwenda kwa Fundi!?
Na je inatatzo lolote(bila kujali udogo Wa tatizo )?
Na je list ya manunuzi yake unayo!?
Fridge jamani na nilikupigia simu asubuhi hukupokeaImechukuliwa mkuu tayar
200kNauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 270,000/=
View attachment 868824
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
View attachment 868826
Mawasiliano 0755662204
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani mwezi ujao
sababu yako imenikatisha tamaa mimi wa mkoaniNauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 370,000/=
View attachment 868824
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
View attachment 868826
Mawasiliano 0755662204
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani mwezi ujao