Nauza Fridge pamoja na washing machine bei chee

Asanthe mkuu ntalifanyia kazi,vip naweza kupata contact za hao jamaa wasafirishaji

Kweli kabisa fata ushauri wa huyu kuuza vitu itakugharimu mara mbili na kukurudisha nyuma mipango yako
Muhimu tembelea ofisi za posta pale bamaga pembeni ya startimes kuna ofisi ndogo uende ukaulize utaratibu
 
Umejuaje itamgharimu na kurudisha mipango yake nyuma!? Tunatofautiana vipato, malengo na mipango ndugu.
 
Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.

Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Dah Jamaa hajaomba ushauri wewe unatoa ushauri,Jamaa anauza mali yake halali na kwake hiyo uenda ndio best option wewe unamshauri asiuze, hii huruma huruma ya Kitanzania ndio inatukwamisha sana kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla Aisee,maana kila Mtanzania anajua best option ya mtanzania mwenzake hata kama hamjui.
 
Ningekua na pesa ningenunua washing mashine,bei ndogo sana hiyo kulinganisha na zilizopo insta
 
Asanthe mkuu ntalifanyia kazi,vip naweza kupata contact za hao jamaa wasafirishaji
Nenda Posta mpya kule nyuma sehemu ya cargo, watakusafirishia
 
Usiuze kununua vingine utapata tabu sana kwenye magari makubwa ya kusafirisha mizigo haizidi laki moja kusafirisha vitu vyako vyote.
 
Dah Jamaa hajaomba ushauri wewe unatoa ushauri,Jamaa anauza mali yake halali na kwake hiyo uenda ndio best option wewe unamshauri asiuze, hii huruma huruma ya Kitanzania ndio inatukwamisha sana kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla Aisee,maana kila Mtanzania anajua best option ya mtanzania mwenzake hata kama hamjui.
Leave or take..

Ni ushauri tu, sijamlazimisha wala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom