ohoo asante hili nilikua sijui siku nikitaka kuhama sehemu niliko nitalifanyia kaziMkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.
Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.
Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Yeye kasema anauza wewe unampa ushauri.Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.
Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Yeye kasema anauza wewe unampa ushauri.
ha ha ha ha hihi hihi hihi hihi
Niko peke yangu ila nimecheka sana aseehhahahah tusihame bongo aisee hahhaha![]()
![]()
![]()
ha ha ha ha hihi hihi hihi hihi
![]()
![]()
![]()
Niko peke yangu ila nimecheka sana asee
poaAsanthe mkuu...japo bei ipo mbali sana