Nauza Freezer (jokofu)

Nauza Freezer (jokofu)

Majutokk

Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
92
Reaction score
23
Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661
 
Laki tano ila ukiliona tunaweza kuongea kinacho wezakufanyika ili biashara ifanyike
 
Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661
tupiamo hata tupicha tuwili tutatu basi..... mweeh??!!
halafu kama mimi niko moshi suala la usafiri ili inifikie inakuwaje? na je, bei haipungui mkuu? fanya mpango wa picha, ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom