jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,213
Habari,
Nauza diplayed fridge la ice cream
Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk.
Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida.
Halina tatizo lolote lile. Naliuza kwa bei ya laki 9 (900,0000)
Linapatikana Bunju B Dar es Salaam
Mawasiliano 0623953036
Karibuni
View attachment 1393646View attachment 1393647View attachment 1393648View attachment 1393649View attachment 1393650
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie mkuu tuongeeLaki saba kama uko tayari nilifate leo leo
Ndio mkuu linagandisha ukiweka speed ya kugandisha inshort liko vizuri nauza bei hyo sababu tu nmekwama mambo yanguLinauwezo wa kugandisha au ni kwa ajili ya display tu
Bunju B sehemu gani mkuu tutafutane tupige ulabu kidogo
Ukifika stend tu umefika mkuuBunju B sehemu gani mkuu tutafutane tupige ulabu kidogo
We kibabu mwenzio anauza friji we unaongea habari ya ulabuBunju B sehemu gani mkuu tutafutane tupige ulabu kidogo
Babu unataka pesa ya fridge muipigie Kvant?Upande wa baharini au wa Mabwepande?
We jamaa una akili sana. Mi nahitaji kutumia hela ya mauzo bhana... buki 10 tu inatosha yaniBabu unataka pesa ya fridge muipigie Kvant?
Alafu jamaa kaandika laki tisa kisha kwenye mabano akaandika milioni tisa.
We jamaa una akili sana. Mi nahitaji kutumia hela ya mauzo bhana... buku 10 tu inatosha yaniBabu unataka pesa ya fridge muipigie Kvant?
Alafu jamaa kaandika laki tisa kisha kwenye mabano akaandika milioni tisa.
Buku kumi ya kwanza itasababisha laki kadhaa zibaki bar.We jamaa una akili sana. Mi nahitaji kutumia hela ya mauzo bhana... buki 10 tu inatosha yani
Tunakuwa tumemwangamiza mdudu wa Corona kiroho safi kabisaBuku kumi ya kwanza itasababisha laki kadhaa zibaki bar.
Sasa akishauza friji hela itakuwa na kazi gani? Hebu niwache niendelee na mikakati yangu ya kupambana na Corona
Hivi ni kweli kvant inaua kirusi cha corona? Kama ni kweli niifate kwa mchagaa dukani sasa hivi.Tunakuwa tumemwangamiza mdudu wa Corona kiroho safi kabisa
Najua unatania. Haiwezekani mpk sasa hujaijua hii dawa takatifuHivi ni kweli kvant inaua kirusi cha corona? Kama ni kweli niifate kwa mchagaa dukani sasa hivi.
Mimi nilisikia tu kuwa nikijiweka quarantine siku kadhaa nitapona bila hata kutumia chochote.Najua unatania. Haiwezekani mpk sasa hujaijua hii dawa takatifu