dominion
Member
- Mar 8, 2017
- 25
- 13
Habarini wana JF
Kama heading inavyoeleweka,nauza dcp kwa viwanda vya kutengenezea vyakula vya wanyama hasa kwa wanaotengeneza chakula cha kuku,
Kwa wasioifahamu ni compounds ambazo zina msaidia mnyama kama kuku kukua kwa haraka na afya na pia kutaga mayai kwa wingi na kwa kama ngombe huwasaidia kuwa wakubwa haraka na kuwa wenye mifupa migumu pamoja na kutoa maziwa ya kutosha.
Karibuni!
Na pia nauza samaki kavu zilizosagwa,hiyo ni kwaajili ya kuchangaya na pumba kwaajili ya kuku!
Karibuni!!