Kalamu Nzito JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 376 Reaction score 850 Feb 11, 2024 #1 Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 21,749 Reaction score 44,559 Feb 11, 2024 #2 Ungetafuta na soko Arusha soko la kilombero wanauzwa sana hao Dagaa na wanaliwa haswa...
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,227 Feb 11, 2024 #3 Ila dagaa bhana
abdi basho Member Joined May 18, 2021 Posts 70 Reaction score 46 Mar 8, 2024 #4 Kalamu Nzito said: Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali. Click to expand... Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347
Kalamu Nzito said: Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali. Click to expand... Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,695 Reaction score 1,771 Mar 8, 2024 #5 abdi basho said: Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347 Click to expand... Habari mkuu, Unao wengi kiasi gani?
abdi basho said: Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347 Click to expand... Habari mkuu, Unao wengi kiasi gani?
abdi basho Member Joined May 18, 2021 Posts 70 Reaction score 46 Mar 8, 2024 #6 Kaudunde Kautwange said: Habari mkuu, Unao wengi kiasi gani? Click to expand... kwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347
Kaudunde Kautwange said: Habari mkuu, Unao wengi kiasi gani? Click to expand... kwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,012 Reaction score 4,843 Mar 9, 2024 #7 abdi basho said: kwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347 Click to expand... Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sana
abdi basho said: kwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347 Click to expand... Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sana
abdi basho Member Joined May 18, 2021 Posts 70 Reaction score 46 Mar 9, 2024 #8 mwaibile said: Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sana. Click to expand...
abdi basho Member Joined May 18, 2021 Posts 70 Reaction score 46 Mar 9, 2024 #9 Bei huwa zinabadilika kila siku kutokana na upatikanaji wake. leo nauza 7000 kwa kilo moja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,922 Mar 9, 2024 #10 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw