Wadau habari za leo !
Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao:
1. Dagaa nyama,
2. Dagaa wakavu/Lukumbu,
3. Lumbunga , na
4. Ng`onda pia wapo.
-Mauzo ni kwa jumla,
-Bei ni poa,
-Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa kiwango cha juu kabisa, kama ukinunua na ukikuta mchanga nakubadilishia bidhaa,
√ Kwa sasa bei ya ndoo/sado ni 50,000/- na kwa kilo ni 7000/kg Ila bei huwa inabadilika mara kwa mara.
Leo ni october 10, 2022;
Ukija nitafuta siku, mwezi au mwaka mwingine panapo uhai na afya , niulize kuhusi bei.
-Ila kila bei zinavyobadilika , binafsi najitahidi kuwa chini ya bei za wengine.
√ Nipo kilwa mkoa wa Lindi Tz,
Tuwasiliane kwa namba 0675659680 calls&whatsApp kwa biashara,
na kama unataka elimu ya hii biashara usipige, njoo whatsApp kwa namba hiyo hiyo niliyoiweka hapo juu (0675659680) utaelekezana namna ya kufanya.
Nawatakia siku njema