Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
- Thread starter
- #21
acheni uboya vimaswali vya kishamba viiiingi wewe kama uko seriously na unaufahamu na computer muelekeze afanye nini ili aweze kukutajia unachouliza na ikiwezekana mfanye biashara .
Wakuu sio kila anaemiliki computer basi anauelewa nazo kivile .
Fuata maelekezo ninayokupa _peleke mshale wako pale kwenye ile icon inayosomeka my computer kisha right click bonyeza upande wa kulia wa mouse yako kisha shuka chini hadi kwenye maadishi yanayosomeka properties (click ) bonyeza hapo mara moja utakua umeshafanikiwa kukiona wanachokuuliza sasa unaweza ukazikopy zote na kuzimwaga hapa au ukawapa jibu ya swali lao mkuu .
Ahsante kaka kwa kunisaidia Mungu akubariki maana mshkaji amenikomalia kwa vitu nisivyovijua,anyway very soon nitapost hizo details.