Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
150?
Inaenda?
150?
Inaenda?
hujazungumzia kitu mhimu katika cpu nacho ni processor, RAM na HDD ni mambo ya kawaida unaweza ku-upgrade muda wowote. sema processor yake ipoje.
Vipi hiyo CPU umeshauza au bado?
Mi nnayo 180000 kama inalipa nipm contact saiv tufanye busines
Kigugumizi nakipata kwenye bei kaka haipungui?
Poa kaka nitakupigia unielekeze nije niichek kwanza then ndio nitasema kiasi gani. Asante kwa ushirikiano
Kaka Processor ni 3.0
Kaka Processor ni 3.0
3.0 Ndiyo nini mkuu? elezea ni processor ipi imo kwenye machine tufanye biashara mimi mwenyewe naitaka, ukisema tu 3.0 siwezi kukuelewa labda unamaanisha tatu bila. Au niambie jina kamili la hiyo machine halafu mimi nita-google kupata specification zake hasa processor yake, niambie ni pc gani hiyo.
Kaka mashine ni HP, kama vp unaweza kunitafuta uchek maana ufafanuz zaidi wa Processor unanishinda maana sio mjuzi sana.