O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Aug 18, 2012 #1 COROLLA i 100 ipo ktk hali nzuri ukiichukua ni kwenda kuipiga rangi nyeupe tu ina full AC contact 0712 85 66 82 au 0715 63 70 61 Yombo dovya dsm
COROLLA i 100 ipo ktk hali nzuri ukiichukua ni kwenda kuipiga rangi nyeupe tu ina full AC contact 0712 85 66 82 au 0715 63 70 61 Yombo dovya dsm
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Aug 18, 2012 #2 weka picha
NusuMutu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 421 Reaction score 87 Aug 18, 2012 #3 lait ungeweka picha,ungepunguza maneno uliyoandika kwa 85%
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Aug 18, 2012 Thread starter #4 ikiwezekana nipatiwe namba ya dalali nimpe dili
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Aug 19, 2012 #5 Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma!
K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Aug 19, 2012 #6 Duh! Hii gari au bajaji
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Aug 21, 2012 #7 Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Aug 21, 2012 #8 gari 3.8M hii ni FOB au!, loh kitakua ni KIGARI na sio gari.
dunia tunapita JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 356 Reaction score 61 Aug 21, 2012 #9 picha iko wapi bhana? ah!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,750 Aug 21, 2012 #10 Shipa hilo unatafuta la kumfia!
M mussaar Member Joined Aug 25, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Aug 25, 2012 #11 duuuuuuh ungeweka picha banaaaaa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 Aug 25, 2012 #12 Masika said: Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza Click to expand... Kassim Awadh said: Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma! Click to expand... kipuri said: Duh! Hii gari au bajaji Click to expand... GP said: gari 3.8M hii ni FOB au!, loh kitakua ni KIGARI na sio gari. Click to expand... Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje?
Masika said: Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza Click to expand... Kassim Awadh said: Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma! Click to expand... kipuri said: Duh! Hii gari au bajaji Click to expand... GP said: gari 3.8M hii ni FOB au!, loh kitakua ni KIGARI na sio gari. Click to expand... Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje?
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Aug 25, 2012 #13 Asprin said: Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje? Click to expand... Ohhh! shauri zako mkuu, kama unataka kutengeneza uswahiba wa karibu na mafundi kimbilia gari zinazouzwa cheeee kama hii corola
Asprin said: Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje? Click to expand... Ohhh! shauri zako mkuu, kama unataka kutengeneza uswahiba wa karibu na mafundi kimbilia gari zinazouzwa cheeee kama hii corola
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 Aug 25, 2012 #14 Kassim Awadh said: Ohhh! shauri zako mkuu, kama unataka kutengeneza uswahiba wa karibu na mafundi kimbilia gari zinazouzwa cheeee kama hii corola Click to expand... Ndugu yangu ulishawahi kupata matatizo? Mi nlishawahi kuuza shamba nililonunua kwa 5m kwa bei ubwete tu ya 3.5m. Ningefanyaje? Usithubutu kukutwa!! So waweza kuta jamaa anauza kwa sababu ana shida ya hiyo hela....
Kassim Awadh said: Ohhh! shauri zako mkuu, kama unataka kutengeneza uswahiba wa karibu na mafundi kimbilia gari zinazouzwa cheeee kama hii corola Click to expand... Ndugu yangu ulishawahi kupata matatizo? Mi nlishawahi kuuza shamba nililonunua kwa 5m kwa bei ubwete tu ya 3.5m. Ningefanyaje? Usithubutu kukutwa!! So waweza kuta jamaa anauza kwa sababu ana shida ya hiyo hela....
B Bwaga ya moyoni Senior Member Joined Aug 21, 2012 Posts 147 Reaction score 76 Aug 25, 2012 #15 Hata bajaj ya kweli siku hizi inauzwa mpaka 5m. Gari 3.8m? Hapana. Labda ni pikipiki. Inawezekana umesahau mku.
Hata bajaj ya kweli siku hizi inauzwa mpaka 5m. Gari 3.8m? Hapana. Labda ni pikipiki. Inawezekana umesahau mku.
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Aug 25, 2012 #16 Asprin said: Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje? Click to expand... maarufu kwa kulalamika, utendaji zero. dhaifu
Asprin said: Watanzania bana. Ikiwa aghali kelele, ikiwa nafuu kelele. Sijui wanataka iweje? Click to expand... maarufu kwa kulalamika, utendaji zero. dhaifu
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 Aug 27, 2012 #17 Inaweza kuwa nzuri tu ila ana shida.Mimi pia nna Corola limited AE91 ya 1990,nauza 4.5ml iko poa kabisa 0764 468 469 DAR
Inaweza kuwa nzuri tu ila ana shida.Mimi pia nna Corola limited AE91 ya 1990,nauza 4.5ml iko poa kabisa 0764 468 469 DAR
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Aug 27, 2012 #18 Kassim Awadh said: Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma! Click to expand... Umeiona? Ama unataka kuwaharibia wenzako tu?
Kassim Awadh said: Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma! Click to expand... Umeiona? Ama unataka kuwaharibia wenzako tu?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Aug 27, 2012 #19 2.5 mkuu unakula 2tafutane?