Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

Kanunue router
Mbona Kama hujakomaa kibiashara wewe sio mchaga inaonekana, muwe mnawapa watu wanaojua biashara wanawasaidia kufanya biashara, mtu anasema aliyo nayo wewe unahisi Kama unadharauliwa so unajibu Kama kupooza hisia zako Ila unaharibu katika ULIMWENGU wa biashara mkuu, mie hata ungeniambia unayo buku kumi ningekujibu poa tu Mana biashara ipo damuni yaani sio ya kubipu Ile automatic
 
Aaa ahsante kwa somo, nikweli sio mchaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom