Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,301
Unabei gani?Kweli wewe ni andazi, hiyo tablet iliyochangamka ya kuuza 230,000?? Una utani na hela
100,000 mfuko wa Shati mkuuUnabei gani?
😂😂😂😂Kweli wewe ni andazi, hiyo tablet iliyochangamka ya kuuza 230,000?? Una utani na hela
Asee100,000 mfuko wa Shati mkuu
Kanunue tablet ya laki100,000 mfuko wa Shati mkuu
Hamna nina Pc mbiliWakati wa kulipa kodi umefika sio
Laki uongo boss, tabla 190k hv nipo RabinisiaUpo tegeta maeneo Gani? Laki 1 hauchukui mkuu?
Karibu kiongoziPC imara sana hizi
Hana adabu anasema pc hii ni tablet iliyo changamka haya akanunue tablet ya lakiAsee
Chukua afu amsiniKaribuni wadau
NopeChukua afu amsini