Nauza Chumba na Samani zake Full Morogoro

Nataka godoro, kitanda, carpet na screen, njoo PM
 
Hii ni kuuza au?
Maana nimeona heading nikasema labda ni appartment kama pale Kariakoo.

Kweli mkuu umeamua kuuza,yaani hapo kasoro ku mention kwamba na Dem wangu wa Msamvu namuuza pia.

Ukiweka picha ya hizo samani na chumba utavutia wengi kaka.

Ha ha haaaaa we ni noma....unataka uuziwe na demu huuh... kwa hiyo naye unataka apigwe picha awekwe humu..!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom