Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,320
Bidhaa cheap zipo pia naziweka!
cheapest perfume kuliko zote ni ipi na ni tshs ngapi; na wakala unakula comission kiasi gani ?
Bidhaa cheap zipo pia naziweka!
yani parfume elfu90, 72 n.k !? kweli watu mnahela.. !
Mmmh..Sasa ukisema perfume ya kiume afu ukasema ya watu wote una maana gani? wanaume na mapunga?
cheapest perfume kuliko zote ni ipi na ni tshs ngapi; na wakala unakula comission kiasi gani ?
cheapest perfume kuliko zote ni ipi na ni tshs ngapi; na wakala unakula comission kiasi gani ?
Nimeuliza cheapest perfume ni kiasi gani ? (ingawa wewe umenijibu sabuni)Mmh..sijajua unachokitaka bado,,yaani unataka kujua napata faida kiasi gani ama?
Nimeuliza cheapest perfume ni kiasi gani ? (ingawa wewe umenijibu sabuni)
Na kama umeelezea kwamba mtu ajiunge (lazima kuna faida ya kujiunga..) sasa hio faida ni kwamba ninapata comission nikiuza hizo bidhaa ? (kama ndio ni kiasi gani ?) na kama hakuna commission je ninanunua kwa punguzo nikiwa member ?, na kama ninanunua kwa punguzo Je ninahitaji kuwa na stock au mtu akitaka ninaweza kuzitoa sehemu kwa haraka ?
Nadhani haya maswali yasingekuwa mengi kama ungenijibu pale mwanzo nilivyokuuliza hii ni MLM au ?
Mmmh..
Yah..kuna faida,,siwezi nikaweka bidhaa na bei yake halafu bado niweke mimi napata faida kiasi gani katika kila bidhaa,,unless labda utanipigia nikueleze personally!ndo maana nikaweka namba za simu
sijaelewa maana ya MLM though..naomba ufafanuzi hapo
Nasikia tangazo redioni kuhusu 50% ya products zenu, vipi promotion bado ipo?
yani parfume elfu90, 72 n.k !? kweli watu mnahela.. !
Zimetengenezwa kwa ushuzi wa tembo labda...
Yap..offer bado zipo,,
oriflame= foreverl living= gnld=deci=matapeli
Unaweza kuweka list ya bidhaa zilizo kwenye promotion na price zake? Naweza kukuunga mkono.
Unaweza kuweka list ya bidhaa zilizo kwenye promotion na price zake? Naweza kukuunga mkono.