wakalaoriflame
Member
- Aug 13, 2014
- 76
- 4
- Thread starter
- #41
Kuna night gel cream mnayo ina mfuniko wa green? Ni sh ngapi? Na scrub pia
Hiyo hapo inaitwa optimals oxygen boost..ni 28,000/=
Kuna night gel cream mnayo ina mfuniko wa green? Ni sh ngapi? Na scrub pia
Mmmh..
Yes ndio hii mpz ninalo kopo lake nzuri sanaaaaa nitakupigia kesho unitumie na sabuni thnx so much
Dada WAKALA ORIFLAME unaposema "bidhaa asili" unamaanisha nini? Btwn bidhaa zenu zote nimeshawahi kuziona ofisini kwenu pale posta. Perfume zenu pia ni product ya miti shamba? Na zile lipbum!!! all in all bidhaa zenu ni nzuri.
Bidhaa asili namaanisha hazina kemikali za kuharibu ngozi yako,,kukuchubua na vinginevyo...asante kwa kuzitambua bidhaa zetu!
Sasa ukisema perfume ya kiume afu ukasema ya watu wote una maana gani? wanaume na mapunga?
Offer mojawapo ni hiyo..hiyo ni pure leather handbag bei yake ya kawaida ni 70,000/=ukijiunga na Oriflame utalipata kwa 9,000/=
Weka harufu hapa tunuse hizo perfume kabla hatujanunua
Nataka lipbam nitapataje
Huu ndio mkoba kama alioletewa Barbara Hassan?
Sasa ukisema perfume ya kiume afu ukasema ya watu wote una maana gani? wanaume na mapunga?
daaah MZEE umechafukwa na Roho