Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,537
- 171,244
ha ha ha muuzaji kauzu had nmekupenda bure
ha ha ha muuzaji kauzu had nmekupenda bure
Teh Teh mtu anauza mbuzi,mwingine anataka bata matope,ahaaa ahaaa
Bora akanunue miguu ya kuku kisutu...
Mkuu siku ya kumtafuna huyo jike,unipm nije kukusalimia.
Nitakie mimi tu muuzaji sikukuu njema maana hakuna mnunuzi hapa.