Nauza bata aina ya pekin

liq

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
62
Reaction score
44
pekin ducks,au bata mwenye nyama na mtamu zaidi,ni bata anayetaga mayai mengi na mwenye faida sana.bei pair ni Tsh 230,000/- yaani dume na jike.tuwasiliane 0713246244.napatikana mbezi beach njia ya masana.karibu
 
Attachments

  • 2B96BD66-250E-4400-90D5-957C777A3AD3.jpeg
    463.2 KB · Views: 144
  • A447638B-2B6F-43EC-9C75-85B7928D7D02.jpeg
    401.4 KB · Views: 144
Mkuu kwenye hiyo picha hao ndo bata wenyewe?,

Kama ni hao mbona wadogo wadogo sana
 
Bata kwa 115,000/- kisa ana nyama nyingi na mtamu sana!labda ungeongezea faida nyingine ili nikuelewe mkuu,labda kama vile kwa familia moja tunaweza kumla kwa siku ngapi,ana uwezo wa kutaga mpaka mayai mangapi nk,nk...
 
napatikana mbezi beach njia ya kupandisha masana hospital,sio vitoto wana mwaka na mwezi.nadhani ni picha jinsi ulivyoona.karibu uwaone kwa macho na ununue pia..
 
Mkuu kwenye hiyo picha hao ndo bata wenyewe?,

Kama ni hao mbona wadogo wadogo sana
nadhani picha inakupa uhalisia tofautibila karibu uwaone kwa macho na pia ununue,nipo mbezi beach na kama unawajua bata aina ya pekin basi utakua umeelewa.kwa usaidizi zaidi jaribu google then search pekin ducks then utajua walivyo,karibu dana mkuu
 
Hivyo kwa picha ni vitoto
usiseme hivyo kabla hujaviona kwa uhalisia mkuu,labda picha inakupa uhalisia tofauti ila kama unawajua pekin ducks basi utakua umeelewa.karibu sana mkuu
 
Nasikia wanataga mayai yenye mchanganyiko na tanzanite ndio maana wana bei kubwa!!!!!
 
nadhani picha inakupa uhalisia tofautibila karibu uwaone kwa macho na pia ununue,nipo mbezi beach na kama unawajua bata aina ya pekin basi utakua umeelewa.kwa usaidizi zaidi jaribu google then search pekin ducks then utajua walivyo,karibu dana mkuu

Sema mkuu komaa nao tu
 
pekin ducks,au bata mwenye nyama na mtamu zaidi,ni bata anayetaga mayai mengi na mwenye faida sana.bei pair ni Tsh 230,000/- yaani dume na jike.tuwasiliane 0713246244.napatikana mbezi beach njia ya masana.karibu
Kuna faida zingine za ziada mkuu? mbona ni ghali sana !!!!
 
Mmoja 230,000?
 
😵😵😵

Hii ndio bei halisi ya hao bata, wala hakuna cha ajabu cha kufanya uuze bata mmoja zaidi ya laki 1
 
Attachments

  • pekin1.JPG
    59.4 KB · Views: 94
  • pekin1.JPG
    59.4 KB · Views: 76
View attachment 751232

😵😵😵

Hii ndio bei halisi ya hao bata, wala hakuna cha ajabu cha kufanya uuze bata mmoja zaidi ya laki 1
nimeipenda hiyo,sasa nenda pale makumbusho au rain bow njia ya mwai kibaki halafu ulizia bei!ukinunua njoo nakupa mifugo bure.its good chaleng n its nice to share ila karibu!
 
Kuna faida zingine za ziada mkuu? mbona ni ghali sana !!!!
nimeipenda hiyo,sasa nenda pale makumbusho au rain bow njia ya mwai kibaki halafu ulizia bei!ukinunua njoo nakupa mifugo bure.its good chaleng n its nice to share ila karibu!
 
Attachments

  • C35CDA02-A0A4-4D9E-82BA-39330B7EC115.jpeg
    333.7 KB · Views: 79
  • 61BE7067-AC2C-48D8-B44C-8E270EBEDDBD.jpeg
    76.3 KB · Views: 87
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…