tz_investor
Member
- Jan 28, 2011
- 60
- 3
- Thread starter
- #21
hello. nimekutumia my offer thru ur simu, umeipata? plz
mkuu Subbi nimekutumia details ulizoomba, hope umezipata
hello. nimekutumia my offer thru ur simu, umeipata? plz
Zimeingia lini nchini??
mkuu Shark nitakujulisha, muda huu siko na card karibu
bado zipo mkuu TIQO, kuna prospective buyers wanakuja kuziangalia leo ... nawe pia karibu mkuuBado hujapata mteja mkuu?
imebaki ya blue tu ... now ni tzs 1.2M tu!
Ofa yako ni nzuri mkuu Osaba lkn bado uko chini sana ... Jitahidi uchukue chombo ... Kwa wanaofahamu hz machine hiyo bei ni ya kutupa!Nakupa laki nane mkuu
Hiyo ya Blue iliyobaki uliinunua lini?
Ushawahi kuifungua injini?
bado zipo mkuu TIQO, kuna prospective buyers wanakuja kuziangalia leo ... nawe pia karibu mkuu
'bado zipo au bado ipo mkuu coz niliona kama kuna 1 iliandikwa sold mkuu au ni macho yamenidanganya mkuu...'