Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

tz_investor

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
60
Reaction score
3
Wakuu nina Bajaj 2 kama zinavyoonekana kwenye pics hapo chini:

1: Bajaj nyeusi, bei: 2.2M (sold)
2: Bajaj ya blue, bei: 1.8M (price now reduced to 1.2M ONLY!)

- Zote ziko katika hali nzuri, na
- Engine zake bado ziko poa sana!
- Road licence: bado iko valid
- Insurance: bado iko valid

Selling Reason: Napunguza fleet as nataka kuagiza mini-truck

Serious buyers only - tuwasiliane kwenye 0784 406 004

IMG-20130525-00053.jpg

IMG-20130525-00054.jpg

IMG-20130525-00051.jpg

IMG-20130525-00052.jpg

IMG-20130525-00055.jpg

IMG-20130525-00059.jpg

IMG-20130525-00060.jpg

IMG-20130525-00056.jpg

IMG-20130525-00061.jpg
 
Attachments

  • IMG-20130525-00057.jpg
    IMG-20130525-00057.jpg
    254 KB · Views: 198
mkubwa zipo mkoa gan na insurance na leseni znaisha baada ya muda gan?naweza kuja na fundi kuikagua au mana naogopa nsije nkanunua na kukuta ina matatzo meng?
 
mkubwa zipo mkoa gan na insurance na leseni znaisha baada ya muda gan?naweza kuja na fundi kuikagua au mana naogopa nsije nkanunua na kukuta ina matatzo meng?

ziko dar mkuu, tafadhali njoo na fundi wako akiwa na vifaa vyake kamili aje kukagua vyombo!
 
okay, ngoja nifanye mchakato kama nitampata mdau aje azicheki tufanye biashara, mi nipo Lindi, ila naamini zinapungua bei pia.
 
okay, ngoja nifanye mchakato kama nitampata mdau aje azicheki tufanye biashara, mi nipo Lindi, ila naamini zinapungua bei pia.

hakuna tatizo mkuu nasri, ila jitahidi uwahi coz kuna ofa zinakaribia karibia ... karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom