jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Umekilipia kodi?sitaki ugomvi na magufuli
Mimi nitakupa 70,000 kama kipo pamoja na dishi + KU na risiti ya manunuzi. njoo inboxNi King'amuzi cha Azam tv kikiwa kimekamilika kila kitu.
bei ni kama nilivytaja hapo juu, haipungui hata senti, nipo Goba.
Unauza kampuni au King's Uzi cha Azam? Tunatofautiana uelewa.
hahaaa...umeua!!
nipo mkuu naona watz mko mnapenda mteremko
vyuma vimeka...z...aaNi King'amuzi cha Azam tv kikiwa kimekamilika kila kitu.
bei ni kama nilivytaja hapo juu, haipungui hata senti, nipo Goba.