Dar ipi bila blanket haulali ndugu yangu?Kuna sehem dar bila blanket hulali.. sijui unalijua Hilo au umekariri dar ni kariakoo shimoni
Kisarawe😊Dar ipi bila blanket haulali ndugu yangu?
Mbona picha za mang'amung'amu, weka picha kamili. Je, ni ya papokwapapo(instant heater).Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara.
Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze.
Lete OFA Yako nikusikilize..
Location: Dar popote unafikiwa
📞 0792503090
Nimeishi Kigamboni nikiwa nasoma MNMA.Ushakaa mbweni au kigamboni au any coastal beach plot?
Mh Kisarawe ni Dar?Kisarawe😊