Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Gramu 54, Tshs 3,000,000/=, Gramu 40 rangi ya Disel Tshs 2,000,000/= na Gramu 25 Tshs 1,000,000/=
Samahani nimeingia hapa hats sijui kazi ya almasi
Samahani nimeingia hapa hats sijui kazi ya almasi
Text to me the 4C's of your diamonds.Gramu 54 tsh 3000000, Gramu 40 rangi ya disel tsh 2000000 na Gramu 25 tsh 1000000
Ukioshea nayo masufuria, huwa yanang'aa sana
navijiko pia huwa vina ngara ila mimi huwa naitumia kuilia swiming pool si unajia swiming pool ina sukali sana
Onaongeza nguvu za kiume...
Unaishi wapi, nyumba namba ngapi, toa namba ya simu!!
Ukioshea nayo masufuria, huwa yanang'aa sana
una Diamond platinum?
Duuhh! Siamini kama hii ndio JF ninayoifahamu. Sehemu ya watu wenye fikra pevu na wenye kufikiri kwa mantiki. Inasikitisha na kushangaza pia. Kila jambo ni masihara, kesho ndio sie hao hao kulalamika ooooohhh wachina wamekuwa wamachinga, ooooohhh wakenya wanachukua ajira zetu.Ana Ali kiba
Zimekuwa tested kwenye maziwa fresh, yatageuka mtindi on spot?Gramu 54 tsh 3000000, Gramu 40 rangi ya disel tsh 2000000 na Gramu 25 tsh 1000000
ooooohhh wachina wamekuwa wamachinga,Duuhh! Siamini kama hii ndio JF ninayoifahamu. Sehemu ya watu wenye fikra pevu na wenye kufikiri kwa mantiki. Inasikitisha na kushangaza pia. Kila jambo ni masihara, kesho ndio sie hao hao kulalamika ooooohhh wachina wamekuwa wamachinga, ooooohhh wakenya wanachukua ajira zetu.