Asante Kwa kunipa moyo Ila nasafari ya week 8 mbele.Unafanya kosa kubwa sana kujidhani una HIV bila kupima. Situation kama hiyo iliwahi kunipata mimi! Ngoja nikuambie mkasa mzima. Nililala na mwanamke mmoja bila kutumia kinga. Baadae asubuhi nikagundua yule dada ana kovu kubwa mgongoni kama alama ya mkanda wa jeshi. Kumuuliza akasema aliungua. Na nikagundua zaidi kuwa alikuwa mwingi na mtembezi sana. Nguvu zikaniaishia. Baada ya miezi mitatu tumbo likaanza kujaa gesi na kuharisha. Haikuishia hapo nikapata na vidonda mdomoni. Nikaona tayari nimeshaukwaa. Nikaamua kwenda kucheki lakini kama mara nne nikawa nikienda wakati tuko kwenye foleni nashikwa na hofu na kuamua kukatiza zoezi. Nikawa naugua kadiri siku zinavyokwenda. Ikatokea siku moja nikaumwa sana sana. ie kuharisha, kutapika na homa kali. Ikawa sina tena ujanja. Nikaenda hospital. Dr akaniandikia vipimo kama full blood picture etc lakini hakuandika cha HIV. Matokeo ya full blood picture yakatoka na nikaonekana sina tatizo. Nikapata nguvu. Nikamuuliza dr hivi kama ningekuwa na HIV si ningeonekana nina hitilafu kwenye haya matokea ya full blood picture? Dr akasema ndio lakini vilevile unaweza usijue. Akanishauri nipime. Kupima nikakuta negative! Kumbe ni hofu tu ilinishika na nilikuwa na typhod! Ushauri wangu nenda kapime! Na hata kama una HIV hakuna neno. Siku hizi kuna dawa na waathirika wengi wanaishi maisha ya kawaida. Nina jamaa kama tisa nawafahamu walipima kama miaka 15 iliyopita wakakuta positive wakansa dawa na sasa wanaishi vizuri kabisa. Kuwahi ni kuzuri na utaishi life span ya kawaida kama utafuata masharti
Mkuu, tupe maelezo zaidiPima kwa kurudia rudia upate uhakika,kuna magonjwa mengine yanatokana na hofu,hivyo ondoa hofu kwanza!
Haijalishi. Kupima hakuhitaji muda mrefu. Ni dakika tu.Asante Kwa kunipa moyo Ila nasafari ya week 8 mbele.
nishatoka kwenye dozi ya pep 2015 kuna msichana alining'ata wakati nikiwaamua ugomvi alikuwa na damu mdomoni bahati nzuri chini ya police alikubali nimuathirika nikaanzishiawa dozi nilvyomaliza nikakutwa mzima. asa limerudi tatizo lilelilePole sana mkuu ,lakini nahisi unajipa presha bure , cha muhimu subiri ukifikisha mwezi mmoja nenda ukapime coz hivi vipimo vya bioline vina detect after one month kama mtu kaambukizwa,,,
Mimi nakumbuka kama miezi minne nyuma niliwahi kukutwa na hali kama yako but ya kwangu ilikua tofauti kidogo coz nilijichoma na sindano iliyokwishakutumika kwa mgonjwa wodini,,, nilipotezea tu baada kama ya siku mbili nikamshirikisha jamaa yangu akaniambia niende kumpima mgonjwa,, ile nimerudi nikakuta mgonjwa ameshafariki so niliishi na mawazo sana ila baada ya mwezi mmoja nilipima nikakuta niko fresh, baada ya miezi mitatu tena nkapima nikakuta niko powa pia,,,
Dalili hizo unazozisema mimi mwenyew nilkutana nazo coz niliugua kama wiki mbili mfululizo , nikawa sina hamu ya kula ,nikapoteza uzito kama kg 3 hivi ,nikajua tayari nimeshaukwaa,pia nilkua na mawazo kama yako coz sijawahi fanya mapenzi na nikawa nawaza na kujitunza kote leo nakufa kwa sababu ya kumuhudumia mtu tena nikiwa na umri wangu wa miaka 22 tuu
,, But all in all Mungu ni mkubwa , muombe yeye tu na hayo mawazo yatakwisha yote na naamini uko salama sema hizi dalili zinaletwa na hofu zinazosababisha immune system yako kuwa weak…!!
Duu, pole sana lakini usijipe stress ingawa nafahamu kipindi hiki jinsi kinavokuwaga, subiri mwezi ukiisha nenda kapime naamini utapata mustakabali wa tatizo lakonishatoka kwenye dozi ya pep 2015 kuna msichana alining'ata wakati nikiwaamua ugomvi alikuwa na damu mdomoni bahati nzuri chini ya police alikubali nimuathirika nikaanzishiawa dozi nilvyomaliza nikakutwa mzima. asa limerudi tatizo lilelile