Nausa ndisi miamia

Ha ha ha! Sipendi wazungu aisee! Halafu mwembamba hivyo ndo sitaki kabisaaa!!! Bora hata angekuwa japo na kibindankoi ningemfikiria!


HAo nenda kwa akina Mwakipesile na Mwankenja huwezi kukuta nsungu ana ikibinda mkoi bana
 
Nyie chekeni lakin mme wake anajidai kaoa demu wa kizungu
 
Alitoa noti ya dola mia, akaambiwa subiri chenji hapa.
Kauziwa mbuzi kwenye gumia huyo, watu washaanza wamemuachia ubao.

Aisee kuna ukweli fulani hapa
 
Mmasai= musungu how are you ?
mzungu= i am fine and you ?
Mmasai= i am good,what do you do ?
Mzungu= acha uboya wewe,sema unataka ndizi za shilingi ngapi siyo unanizingua zingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…