Kwan kuokota makopo sio mradi mkuu...vijana wenye wivu mnatabu sana...usipowajibika sasa watoto wako ndio watapata shida nawew pia uzeen.ebu taja kwanza hio miradi yako unayo ipigia kelele hapa.
Ukute una mradi wa kukusanya makopo
Hahaha.dah...wakat wew ukifanya masihara na muda na umri wako.wenzio ndo tunasonga hvyo..utakuja shtukia heee 35 hyooo..mara 40 hyo.umekaa tuu unaonea wivu wenzio...kwan mradi manake nin ndugu yangu tuanzie hapo..maana uskute huelew kitu...ila zingatia sentesi za kwanza za comment hiiAcha mikwara wewe.......wenye miradi hawana muda wa kuandika pumba zako hizi.
Black Lives Matter kwa Africa ni movement ya ajabu,kwa Africa inawezekana sababu asilimia 78 ni wabinafsi na wajinga... ukabila udini vyote ni ubaguzi na ndo chanzo cha umasikini usiokwisha...
Alafu utakuta mtu anasema blaki livis mata!....
Kwan kuokota makopo sio mradi mkuu...vijana wenye wivu mnatabu sana...usipowajibika sasa watoto wako ndio watapata shida nawew pia uzeen.
Hahaha miaka imeingiaje hapa mkuu ??? unjaua nina miaka mingap mkuu??? nikuonee wivu nakujuaaa....kupata Laki moja yako hakunizuii mimi kupata efu kumi yangu and vice versa so siwez kukuonea wivu.....Hahaha.dah...wakat wew ukifanya masihara na muda na umri wako.wenzio ndo tunasonga hvyo..utakuja shtukia heee 35 hyooo..mara 40 hyo.umekaa tuu unaonea wivu wenzio...kwan mradi manake nin ndugu yangu tuanzie hapo..maana uskute huelew kitu...ila zingatia sentesi za kwanza za comment hii