Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.
Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.
Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.
Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.
Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.
Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?
Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?
Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.
Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.