- Thread starter
- #41
Huyu ni kilaza ^2 kama umesoma hesabu umenielewaMleta mada wewe ndo kilaza
Tundu Lisu the greatest
Huyu ni kilaza ^2 kama umesoma hesabu umenielewaMleta mada wewe ndo kilaza
Tundu Lisu the greatest
Ni ukweli mchungu.Watanganyika wengi ni vilaza sana hata wasome vipi!
Ndio maana Bi FaizaFoxy ana kamsemo kake kale.. "Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga".
Nilikuwa namuangalia yule injinia anavyobabaika. Hata kuongea sentensi nyoofu hawezi.
Unabaki kujiuliza huyu mtu naye ni "msomi" aliyepewa nafasi ya kusimamia miradi ya nchi!??
Fuatilia uzi wangu mmoja hapa unasema Rais Magufuli kathibitisha kuwa watendaji wengi wa serikalini ni watu dhaifu, wenye elimu ndogo, magoigoi na wababaishaji.
Moderator nisaidie kupandisha ule uzi wangu hapa!
..... na anajiita injinia!Ni ukweli mchungu.
Nnakuhakikishia yule kijana hata hilo chekeche la maji hajuwi likoje na litafanya kazi vipi.
Huyu ni kilaza ^2 kama umesoma hesabu umenielewa
Sababu ya kwanini nyinyi wananchi ni masikini ni hawa waajiriwa.Wanatafutwa "mbuzi wa kafara" katika "ziara kampeni" zinazoendelea ili kutafuta uhalali uchwara.
Yawezekana hata Ben saanane alikuwa kilaza !!Turudishie Ben Saanane muuaji mkubwa wewe
Yaani inasikitisha sana...... na anajiita injinia!
Umemsikia mwenyewe akikanusha? Kwa taarifa yako yeye mwenyewe ndiye alikuwa akitamba hivyo au ulikuwa hujazaliwa bado?una uhakika na unachokinena
SwadaktaaKilaza ni wewe mwenyewe.
Kwa vile ni wapumbavu kweli hivyo wanashangilia kutajiwa sifa zao.Umekasirika nini mbona wenzio wanaitwa WAPUMBAVU na wanashangilia!
Kuna ukweli,lakini sio kila mtu ni kilaza.Watanganyika wengi ni vilaza sana hata wasome vipi!
Ndio maana Bi FaizaFoxy ana kamsemo kake kale.. "Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga".
Nilikuwa namuangalia yule injinia anavyobabaika. Hata kuongea sentensi nyoofu hawezi.
Unabaki kujiuliza huyu mtu naye ni "msomi" aliyepewa nafasi ya kusimamia miradi ya nchi!??
Fuatilia uzi wangu mmoja hapa unasema Rais Magufuli kathibitisha kuwa watendaji wengi wa serikalini ni watu dhaifu, wenye elimu ndogo, magoigoi na wababaishaji.
Moderator nisaidie kupandisha ule uzi wangu hapa!
Active
JamiiForums
Maxence Melo
Nimeamini nyie uvccm mliopelekwa kwenye kitengo hamna mnalojua zaidi ya kuteka na kupoteza, bladibasketibolo!Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.
Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.
Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.
Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.
Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.
Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?
Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?
Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.
Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Kunafaida gani kuzuia kwa mbwembwe mafisadi 20 wanaoiba bilioni 10 na kujibakiza mmoja anayeiba bilioni 20?Hzi nchi zetu za kiafrika zinahitaji madikteta wa maendeleo ili tuweze kusonga mbele na kupiga hatua. Hizi mbwewe za democrasia za vyama vya siasa hata huko zilipoanzia zinaanza kuwashinda. Hata baba wa Taifa Mwl. Nyerere alikuwa na kaina fulani ka udikteta japo yeye alikaficha kidogo hako katabia hakukaweka wazi. Alikuwa ni dikteta wa maendeleo. Nchi zetu hizi za kiafrika kama ikipata rais ambaye si mkali na maslahi ya taifa, nchi itachezewa sana na kila siku tutakuwa tunasoma kwenye magazeti jinsi watu wanaofanya usifisadi uliotukuka. JPM SONGA MBELE USIJALI VILAZA WATAKUELEWA UKIWA UMESHAMALIZA KAZI YAKO NA UMEPUMZIKA.