Naunga mkono Rais kutuita vilaza

Naunga mkono Rais kutuita vilaza

wewe hujui kuwa Jiwe ni unpopular huko mikoa ya kusini kutokana na maamuzi yake mabovu kwenye korosho kwa hiyo anatafuta namna ya kurudisha credibility mbele ya wananchi wa huko?

Anachokifanya ni kuwatoa watu kafara ili aonekane yeye ni mtu mwenye kujali sana shida za watu!
 
Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.

Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.

Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.

Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.

Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.

Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?

Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?

Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.

Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Yeye mbona kaua uchumi na ukilaza wake wa PhD feki,
 
Kuhusu kuchezea nchi mbona yeye ndiye anaichezea sana kuliko hata hao mnaowaita wapige dili!! Ziko wapi Tsh 2.4 Trilioni? Kwa nini hataki CAG akague sekta ya madini? Kwa nini kahamishia ATCL kwenye Kasma ya Ikulu badala ya Kasma ya Uchukuzi na Mawasiliano?

Kwani aliyeuza nyumba za Serikali kwa kimada wake na kwa mdogo wake alikuwa haichezei Serikali? Nani alinunua kivuko kibovu cha Bagamoyo kwa Tsh 9.5 Bilioni?

Msutufanye hatujui mambo, na sababu kubwa ya udikteta wa Jiwe siyo maendeleo kwa Watanzania bali ni kuficha ufisadi wake. Period!!
Praise team majinga jinga tu
 
Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.

Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.

Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.

Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.

Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.

Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?

Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?

Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.

Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Wewe ni kilaza na Rais wako ni kilaza pia!
 
We ni vuvuzerá ĺa Jiwe hakuna jambo usilounga mkono
 
well spoken!
 
wewe hujui kuwa Jiwe ni unpopular huko mikoa ya kusini kutokana na maamuzi yake mabovu kwenye korosho kwa hiyo anatafuta namna ya kurudisha credibility mbele ya wananchi wa huko?

Anachokifanya ni kuwatoa watu kafara ili aonekane yeye ni mtu mwenye kujali sana shida za watu!
Maamuzi aliyofanya yalimuathiri vp mwananchi maana nachojua ni serikali ilinunua korosho yote kwa wakulima ila wao serikali ndo wakakosa wa kumuizia. Kimantiki hapa si mkulima baada ya mavuno anataka korosho yake inunuliwe kitu ambacho serikali ilifanya? Hapa mkulima aliathirika vp kwa serikali kukosa mteja wa korosho ilkyoinunua tayari kwa wakulima? Naomba ufafanuzi kama hautojali
 
Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.

Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.

Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.

Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.

Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.

Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?

Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?

Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.

Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Wengine humu jukwaani huwa tunatamani kuwarushia matusi ila umri na background zinatuzuia. Tulia na andika ukweli na si mihemuko ya kisiasa, umeonyesha upstair uko very low.
 
E="Pelle mza, post: 33167512, member: 10692"]
Hata ya mwenyekiti wa CHADEMA iko wazi!
[/QUOTE]
Ulichoandika ndiyo matunda ya Jiwe kuwagawa watanzania kwa itikadi za kisiasa. Asamehewe sana.
 
Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.

Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.

Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.

Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.

Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.

Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?

Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?

Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.

Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
We huna akili. Nchi imemshinda amebaki kufoka tu. Nchi haiendeshwi na mtu mmoja ndo Mana kila kitu kimecollapse. Investments zinayoyoma na kufungwa kila siku yeye Yuko bize na kufoka na vilaza wenzio mnashangilia upumbavu huo. Hana njia za kubuni kuwiden GDP yeye Ni kufoka tu. Nchi inayumba yeye Ni kufoka na mabavu. Nchi haiendeshwi hivyo jomba. Ndo maana vijana wengi wasomi wako mtaani wanaomba hata afe leo ili investors warudi wawajiri Mana wameshakimbia kitambo kwa uchumi huu usioleweka. Hata siku moja command economy haiwezi kuleta maendelea Ni disaster kwa msomi yeyote anayetarajia marndeleo. Mwambieni aache ushamba nchi siyo Kijiji wala mtaa.
 
Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.

Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.

Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.

Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.

Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.

Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?

Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?

Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.

Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.

Huyo rais huko anakozunguka kufanya kampeni ni kama anajichoresha tu, ni bora arudi Dar apange jinsi ya kunajisi box la kura. Ana mwaka wa nne sasa madarakani kashindwa kuunda mfumo imara wa kudhibiti hayo mambo, leo anazunguka mitaani kuitana vilaza na watu kwa miradi ya 300m. Huko kote anakopita kunaongozwa na wanaccm hali ni mbaya, lakini analazimisha kutumia madaraka yake kuwaweka wanaccm ili waendelee kula hii nchi bila kupigiwa kelele.
 
Mods, huu uzi una mdhamini?! Mbona uneganda hapa na hautoki?!
 
Hiyo shida ya maji imeanza leo baada ya huyu mkurugenzi kuja? kama ilikuwepo miaka 25 nyuma hao waliokuwepo walifanya nini hadi huyu ambaye anaonyesha nia ya kufanya mradi angalau ndani ya mezi 6 aonekane bogus
Huko nyuma kulikuwa hakuna hela ya kutekeleza miradi sasa zipo miradi inapaswa kutekelezwa haraka
 
Hakukuwa na pesa kivipi, hakuna kipindi halmshauri zimewahi kupata pesa kama kipindi cha kikwete. acha uzwazwa...
 
TATIZO pia lipo Kwa anayewateuwa sometimes unakuta ni Kada wa chama chenu mnaenda kumpa jukumu kubwa na matokeo yake ni hayooo
Ndiyo maana kipindi kile MH raisi aliamua kuwapa nafasi nyingi wapinzani hasa za uwaziri,ukuu wa mikoa na wilaya ili kuleta tija
 
Watanganyika wengi ni vilaza sana hata wasome vipi!

Ndio maana Bi FaizaFoxy ana kamsemo kake kale.. "Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga".

Nilikuwa namuangalia yule injinia anavyobabaika. Hata kuongea sentensi nyoofu hawezi.

Unabaki kujiuliza huyu mtu naye ni "msomi" aliyepewa nafasi ya kusimamia miradi ya nchi!??

Fuatilia uzi wangu mmoja hapa unasema Rais Magufuli kathibitisha kuwa watendaji wengi wa serikalini ni watu dhaifu, wenye elimu ndogo, magoigoi na wababaishaji.

Moderator nisaidie kupandisha ule uzi wangu hapa!

Active

JamiiForums

Maxence Melo
 
Hakukuwa na pesa kivipi, hakuna kipindi halmshauri zimewahi kupata pesa kama kipindi cha kikwete. acha uzwazwa...
Uzwazwa unao wewe,cha kwanza sijui kama umeshawahi kufanya kazi serikalini,kipindi ambacho pesa za miradi zilikuwa angalaui znapatikana ni kipindi cha Mh.Mkapa kipindi cha Mh.Kikwete serikali ilikuwa inadaiwa na Wakandarasi kuliko kipindi chochote kile
 
Back
Top Bottom