Naunga mkono hoja!!!

jcb

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
280
66
Naomba mnisaidie katika hili, Hivi hawa wabunge wa ccm inakuwaje wana lalamikia hotuba za bajeti sana na mwisho wanaunga mkono hoja nimekuwa nikitafakari jambo hili na sijapata jibu kama ndio utaratibu wa chama au ndivyo inavyo stahili kuwa.
Naomba kuwa silisha angalao mnifungue katika hili.
 
Unajua ukiwa mwana ccm unafungwa uelewa na uwezo wa kufikiri ndo mana hata hoja za kudidimiza taifa utaona waheshimiwa wa chama hicho pale mjengoni wanaunga mkono hoja japo wanaikosoa kua na makosa. Sasa mi nashanga kwanini mtu na uelewa wako unaunga mkono hoja yenye makosa?????????
 
ndugu, ni unafiki mkubwa, unaunga 100% halafu unaanza kukosoa sasa unaunga nini? Mimi nadhani ni ugojwa ambao watu wameugua kwa makusudi. Ombi wapewe kikombe cha babu.
 
ndugu, ni unafiki mkubwa, unaunga 100% halafu unaanza kukosoa sasa unaunga nini? Mimi nadhani ni ugojwa ambao watu wameugua kwa makusudi. Ombi wapewe kikombe cha babu.

Kikombe pekee hakiwezi kuwa rudishia uwelewa pengine maombi!!
 
Back
Top Bottom