PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
siku zote Reforms katika Serikali inataka gradual changes ( kidogo kidogo hatua kwa hatua ) Mkitaka mabadiliko kwa Rapid Change ( Mara moja au kwa haraka) bila shaka mambo yataharibika zaidi na hakuna kitakacho badilika
 
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !!

Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga mitano Tena mpaka 2033!! Itakuwa tumemaliza Kila kitu kwa uzuri sana.

Pia, Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya nchi ni october 2025 na si vinginevyo,

maoni na ushauri wa mtu binafsi yafanyiwe kazi kwenye chama chake husika ambacho bilashaka kina katiba mbovu zaidi ambayo inahitajika kufanyiwa marekebisho ya lazima kama ilivyohitajika wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama chake:NoGodNo:
 
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !!

Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga mitano Tena mpaka 2033!! Itakuwa tumemaliza Kila kitu kwa uzuri sana.

Pia, Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
Huyu Kafulila anachamba mpaka kinyaa, atagusa kinyesi mwisho wa siku,
Aende serikalini na aulize kwa nini wizara ya ujenzi hawapewi fedha za Road Fund, huku magoli yana lipiwa kwa hela ya mama.
 
Kwahiyo unatamani waingie kwenye Uchaguzi kisha wapate wabunge wawili kisha muanze kumcheka kwamba tuliwaambia Lissu anaenda kukiua Chama sio?

Kwani kilitokea nini Mwaka 2020 ambapo Chadema walishiriki ule Uchaguzi Kwa tume hii hii ambayo Viongozi wote Wanateuliwa na Mgombea wa CCM ambaye naye anagombea URais?

Kati ya wewe na Lissu nani unadhani mwenye akili??
Sasa hivi kwa huo msimamo wake wa no reform no election anaenda kuua Chadema
Watu wamejiandaa kugombea na wana watu tayari wa kuwapigia kura

Kuna mgogoro mkubwa unaenda kumtoa Lisu

Tayari kuna watu wamejipanga kutaka kuitisha mkutano wa baraza kuu kupinga hiyo no reform no election kuwa ilipitishwa na baraza kuu ambalo halikuwa na sifa sababu akidi ilikuwa haikutimia na pia kuna wajumbe waliopitisha hilo azimio hawakuwa wajumbe halali

Na hicho kikao kinaenda kumtimua Tundu Lisu
 
Sasa hivi kwa huo msimamo wake wa no reform no election anaenda kuua Chadema
Watu wamejiandaa kugombea na wana watu tayari wa kuwapigia kura

Kuna mgogoro mkubwa unaenda kumtoa Lisu

Tayari kuna watu wamejipanga kutaka kuitisha mkutano wa baraza kuu kupinga hiyo no reform no election kuwa ilipitishwa na baraza kuu ambalo halikuwa ba sifa sababu akidi ilikuwa haikutimia na pia kuna wajumbe waliopitisha hilo azimio hawakuwa wajumbe halali

Na hicho kikao kinaenda kumtimua Tundu Lisu
Endeeleni kusubiri meli uwanja wa ndege.

CHADEMA sasa chini ya Lissu na Heche waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa kwanza huru na wa haki kuwahi kufanyika Tanzania tangu uhuru ipo very strong sasa kuliko kipindi chochote kile tangu kilipoundwa.
 
Lisu anawaza tu ruzuku

Kuwa akiendelea kupokea kwa miaka hiyo mitatu ghorofa lake litakuwa limeisha kujengwa na hela ya kampeni atakuwa nayo

Jicho lote hapo liko.kwenye ruzuku ambayo mwezi huu wa sita ndio mwisho

Hizo zingine anaongea porojo tu

Kichwani anawaza ruzuku tu
Heri yule anayewaza ruzuku ya halali Wewe kichwani una Mavi tu.
 
Sasa hivi kwa huo msimamo wake wa no reform no election anaenda kuua Chadema
Watu wamejiandaa kugombea na wana watu tayari wa kuwapigia kura

Kuna mgogoro mkubwa unaenda kumtoa Lisu

Tayari kuna watu wamejipanga kutaka kuitisha mkutano wa baraza kuu kupinga hiyo no reform no election kuwa ilipitishwa na baraza kuu ambalo halikuwa ba sifa sababu akidi ilikuwa haikutimia na pia kuna wajumbe waliopitisha hilo azimio hawakuwa wajumbe halali

Na hicho kikao kinaenda kumtimua Tundu Lisu
Hao waliojiandaa kwenda kugombea watatangazwa washindi na tume ipi hiyo?

Hii hii ambayo watumishi wake wamepewa maelekezo wasiwatangaze wapinzani?

By the way, tafuta clip ya Tundu Lissu wakati anaongea na Bawacha mbona ameeleza hiyo no reform no election yalikuwa na maagizo ya kikao gani?

Wakiona Kuna umuhimu wa kushiriki Uchaguzi, waitishe vikao kisha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu uamue wakashiriki Uchaguzi, ili wakishindwa na watu wao kuuawa asilaumiwe Lissu Tena

Maana najua wakulaumu hawatakosekana wakiongozwa na wewe kada wa Chama tawala
 
Hizo reform haziwezi fanyika baada ya uchaguzi?
Raisi atakuwa ni yule yule ambaye mnataka aongezewe muda ili afanye hizo reforms.

Najiuliza, tofauti ya kufanya hizi reform uchaguzi uwe baada ya miaka mi3 na zikifanyika baada ya uchaguzi ili zitumike kwenye uchaguzi kuanzia 2030 ni nini?

Jibu ninalopata ni No reform no election ina maslahi mapana sasa kuliko baadae, kwanini? Sijui.
 
Kwa muono wangu hili linawezekana, Tena linaweza kuwa accomplished na yule ambaye ameamua ku step down mapema kwa sababu anaonekana Hana interest na ulevi wa madaraka
 
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !!

Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga mitano Tena mpaka 2033!! Itakuwa tumemaliza Kila kitu kwa uzuri sana.

Pia, Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
Ujinga mtupu umeandika
 
Back
Top Bottom