Naunga mkono Chu$$pi zisianikwe nje

Naunga mkono Chu$$pi zisianikwe nje

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,669
Reaction score
140,300
20201009_17430384945.jpg

 
Nakumbuka kipindi niko teenager nilikuwa nafanya hivyo!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Miaka ya 2002 nilipanga nyumba moja Mwenge/Bamaga karibu kwa Pfunk na Kajala miaka hiyo, sasa chumba next door yangu akaja amia dada mmoja hivi bomba alikuwa nyumba ndogo ya kigogo fulani cjui wa wapi. Dada alikuwa akifua weekend anaanika chupiz zake kamba zima, bahati mbaya au nzuri kamba ilikuwa inaanzia mbele ya mlango wangu, yaani ukifungua mlango tuu ni vyupii kamba zima halafu wala haoni noma. Alinitesa kweli na alivyokuwa na chura chupi zilikuwa XXL kama Clouds Fm.
 
Back
Top Bottom