Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Pamoja na kwamba Nigeria wana asili ya kudharau mataifa mengine ya africa lakini amunike amezidi.
Kwanza aliwadanganya tff kwamba yeye alikua mchezaji nyota pale barcelona.. ukweli ni kwamba kwa muda wote miaka 4 amunike alifunga goli moja tuu..
Amunike ni mtu ambaye alizajiliwa kimakosa na barcelona, na sijui alipataje mchongo huo kutoka zamaleki.
Cha pili kila akiongea anajigamba kwamba yeye ni mchezani bora.. ukweli ji kwamba hata huko nigeria sio star... ni mchezaji wa kawaida sana.
Kitendo cha kuwatukana wachezaji ni kuwatukana watanzania.. naamini muda huu huko aliko baada ya kutimuliwa atakua ametutukana sana watanzania hasa viongozi wa tff.
Naomba TFF mtuletee kocha ambaye sio njaa.. anaye ipenda Tanzania, anaye wapenda watanzania. Na anayejua kufundisha mpira.
Na hili lianze na u15 .