Naunga mkona mia kwa mia,lakini............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naunga mkona mia kwa mia,lakini.............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NEGLIGIBLE, Jun 17, 2011.

 1. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  habari wana jamvi,hivi wabunge wote wanaochangia bajeti na kudai kuwa wanaiunga mkono bajeti mia kwa mia tena kwa msisitizo halafu wanaikosoa ni kwamba hawajui hesabu au wasiposema hivyo wataonekana wanaipinga serikali?..................nadhani umefika wakati wabunge wanapaswa kujua kazi zao,ambazo ni pamoja na kuisimamia serikali na sio vinginevyo...................
   
Loading...