TV za sku hizi mbona zina vitu vyote hivyo mkuu!...kama ni educational sawa, otherwise unapoteza muda ambao ungeutumia kwa kazi nyingine.
mkuu mim sijawahi kuziona.nimewahi ona tv zenye deck ya vsh na deck ya dvd.
Mkuu nahisi ntakuwa sijapoteza mda saana
ngoja nkuulize swali unafungua vifaa vya technologia ya watu then unavifunga pamoja au unatengeneza mweyewe? Mfano lens, kioo cha tv unapata wapi?
Halafu mfano dvd za kawaida zinaplay format chache za video je wewe utaongeza hizo format? Mfano kama mkv(metrosokha)
Mwanzo mgumu jitahidi kaka, uskate tamaa
Hongera, na jipe Moyo ! hao wanaokuvunja moyo wamezoea kutengenezewa na wanaamini haitatokea TZ tukawa na vitu vyetu. Mi si mtaalam, but songa mbele.Hata kama hutakua umevumbua kitu kipya, Mafanikio ya Japan,China,India n.k yalianzia hapo kwa kuiga techinology then una update,then kinatoka kitu kizuri zaidi.TV za sku hizi mbona zina vitu vyote hivyo mkuu!...kama ni educational sawa, otherwise unapoteza muda ambao ungeutumia kwa kazi nyingine.
ngoja nkuulize swali unafungua vifaa vya technologia ya watu then unavifunga pamoja au unatengeneza mweyewe? Mfano lens, kioo cha tv unapata wapi?
Halafu mfano dvd za kawaida zinaplay format chache za video je wewe utaongeza hizo format? Mfano kama mkv(metrosokha)
Mwanzo mgumu jitahidi kaka, uskate tamaa
Dukani kuna kitu kinauzwa ni av selecta inatumia limoti sasa sijui mfumo wa tv yako ni upi .kuna auto selekta yani ukiopeni dvd inajiamisha yenyewe kazi unayo kamaa Tushindwe hata kutengeneza vijiko ?
About TV Machines
What is a TV Machine?
A TV Machine is a television diffuser. The apparent effect is to convert a high definition picture into an ultra low definition, or pixelated image. Color composition and movement are maintained while the images on the screen are rendered unrecognizable. A TV Machine can turn the relentless visual noise of television into a soothing aesthetic experience.
1 of 5
How does it work?LCD televisions project a cone of light from each pixel. The reflective walls of a square in a TV Machine blend the colors if the pixels. The semi-opaque face diffuses any fine image detail into a gradient. The result is that the entire square appears to be one 'resampled' color.
How is it constructed?
The body is made of foam core and hot glue. The inside of each square has a reflective surface. The face is semi-opaque acrylic.
How is it used?
The TV Machine should be placed directly in front of a flat screen television. It doesn't have to be in contact with the screen, but the closer the better. A TV Machine is lightweight so it can be hung from the television or propped in front of the screen with anything that's convenient. For best viewing conditions lower the lights when using a TV Machine. If you have a laptop connected to your television it will be much easier to select what to watch since you will have the second, unobstructed screen available.
You can also place Christmas lights behind a TV Machine to use it as an accent lamp. Be sure to only use LED lights since they don't get hot.
What should I watch?
Almost anything can be interesting to watch on a TV Machine, except for talking heads. Music videos, such as those by the Talking Heads, work uggestions or your own favorite playlist. Another option is to put on iTunes and watch a slide show in iPhoto.
Did you invent the TV Machine?
No. The first TV Machine I know of was seen at the 'Television House' in Eau Claire, Wisconsin. Several musicians lived there and punk bands would stay while touring during the 90's. The original construction was tin-foil lined toilet paper tubes with tissue paper over the ends.
My TV Machine designs are based on the Fibonacci Spiral which is itself an interesting topic if you are a geometry or design geek.
Can I make my own TV Machine?
You sure can. Here is a video I made with tips and tricks on making your own TV Machine.
About