naumwaga

mandaka

Member
Jan 13, 2011
62
8
Msukuma mmoja alikua anaumwa na
kulazwa kwenye hospitali moja hivi.
Siku moja rafiki yake akaenda
kumtembelea kumpa pole. Wakati
jamaa anafika akakuta mgonjwa ana kikombe cha uji anakunywa.
Wakasalimiana, jamaa akawa
anamfariji.
Mgonjwa: Nashukuru sana kwa
kunitembeleaga huku hospitali.
Jamaa: Usijali rafiki yangu, Mungu atakusaidia utapona.
Mgonjwa: Asante sana, ila naumwaga.
Yaan naumwaga kweli.
Jamaa: Usiumwage bwana, kama
umeshindwa nipe tu ninywe mimi
manake nina njaa. ...
Naumwaga - -> naumwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom