Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 450
Labda pakiletwa huku,ila porini siendi mie
Acha uoga kaka mkubwa.......nenda kapate tiba.:mod::mod::smow:
Labda pakiletwa huku,ila porini siendi mie
Fanya kipimo kimoja kinaitwa Pregnancy Test (PT)
haha,so unashauri ninywe sulphadoxine labda shingo itatulia eh?
Ndio comment niliyo ona ina faa pale,kamaa ulivo ona wewe
huu ushuzi unafaa hapa
Hiki ndo kina shusha maumivu sasa
Yalaaaaa!Ya nan.? We naye mwanaume, uon aibu. Kujitangaza "naumwa "naumwa. Nyoooooo utavishwa always.
Acha umbea,una cheka nini sasa?