Sawa mkuiPole. Kuna uwezekano mwili wako una kiwango kikubwa cha mafuta mabaya (Cholesterol).
Muone daktari akupime cholesterol pamoja na Gouts ili uanze kutumia dawa.
Sawa nashukuruFanya fanya mapenzi kwa muda fulani then leta mrejesho!!
Pole sana ndugu.Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana umri 30+ na sijaoa.
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na maomivu ya kiuno na nyonga pamoja na hii mishipa ya katikati ya mapaja na kibofu inakua kama inawaka moto na kuna wakati mpaka kichwa kinauma.
Mwanzo ulianza mgongo kwa chini (low back pain) , nimejitahidi kufanya mazoezi ya viungo na kutumia dawa za maomivu ukaachia. Sasa ni kiuno na nyonga zinauma sana naimepita miezi sita sasa tokea haya maomivu yanipate na sina nafuu yeyote zaidi yanaendelea tuu ndugu zangu
Siwezi kusimama zaidi ya masaa mawili tena na hata nikikaa na experience sana maomivu ya kiuno na nyonga na hii mishipa iliyo katikati ya mapaja.
Nimepima maradhi ya zinaa na UTI sina kabisa.
Naombeni ushauri .
Asante nashukuru sanaPole sana ndugu.
Ingia Youtube khna Mazoez kadhaa yakutibu Maumuvu ya kiuno ukakaa sawa.
SexBoy wangu alikuwa na shida kma yako bt alivyooanza Mazoezi tatizo liliisha hivyo anaperform vizur tuh[emoji8]
Sawa mkuu. Asantejaribu kutumia mkeka kulalia na sio godoro...niligundua hili nilipoenda maporini huko kazini ambako tuliweka kambi kwa miaka kadhaa...pamoja na kuwa kazi ilikuwa ngumu saba, lakini sikuwahi kusikia maumivu makali ya mgongo kama hapo awali....nilipofuatilia vizuri baadaye kwa wataalamu wakanishauli kutumia godoro gumu sana lisilo bonyea au mkeka na jamvi....nenda hospital kacheki pia kwa x rays, au ct scan kucheki pia matatizo ya mifupa
Mkuu hapo kwenye mattress ndio tatizo huwenda likawepo, ajaribu nunua godoro jipya then aangalie, au ajaribu kufanya experiment ya akienda labd akulala nje ya kwake anakuwa na same experience au iyo hali inakuwa haipoUpweke unaleta stress.
Stress inaleta shida nyingi ikiwa ni pamoja na mgongo ndo mana kwenye dawa za mgongo anti depressant huwepo sometimes.
Pia godoro lako laweza kuwa ndo mchawi wako.
Kazi yako pia inaweza kuwa chanzo.
Aina ya kiti unachokalia ofisini chaweza kuwa tatizo.
Aina ya mazoezi pia yaweza kuwa chanzo.
Kuna mazoezi maalumu ya kutibu mgongo.
Dawa za hospital hazitakusaidia sana.Life style change can save you.
NB:Huwa unataja umri na kuwa hujaoa kwenye kila uzi wako na huwa natamani kujua lengo lako
Thus wachina na wajapanj wanalalia mbao au slesi ya godoroTiba moja vitanda vitakufaa sana inaitwa CERAGEM V3 BED vinafanya massage ya mgongo
Sisi mammalia tuna vertebrates ambazo zimeundwa na vertebrae ni sahani like ni laini na rahisi sana kuharibika.Kutokana na Mkao,Kazi na aina ya ulalaji
Vyuoni na nchi zilizoendelea wamezingatia viti,Kiti kinatakiwa kibonyee au kiwe na kama kashimo kwaajili ya ukaaji wa kiafya
Natamani kuandika mengi ila naelekea nje ya mada kifupi mtoa mada tafuta sehemu ya hivi vitanda
Zaidi Hii tiba ni kiboko ya Magonjwa sugu. Itumie
Sio kweliNyege pia sometimes hufanya mtu kuumwa mgongo/ kiuno! Hasa asipofanya kwa muda mrefu!
Came on my partner PmMara moja moja uwe unazipunguza kwa partner wako!! Au mnasubiria ndoa!!??
Ndoivo!!Sio kweli
Nyege pia sometimes hufanya mtu kuumwa mgongo/ kiuno! Hasa asipofanya kwa muda mrefu!
Umebadili ID na husemi😂😎Pole sana
Imeanza lini hii Hali?
MkuuHabari za wakati huu ndugu zangu.