jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana umri 30+ na sijaoa.
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na maomivu ya kiuno na nyonga pamoja na hii mishipa ya katikati ya mapaja na kibofu inakua kama inawaka moto na kuna wakati mpaka kichwa kinauma.
Mwanzo ulianza mgongo kwa chini (low back pain) , nimejitahidi kufanya mazoezi ya viungo na kutumia dawa za maomivu ukaachia. Sasa ni kiuno na nyonga zinauma sana naimepita miezi sita sasa tokea haya maomivu yanipate na sina nafuu yeyote zaidi yanaendelea tuu ndugu zangu
Siwezi kusimama zaidi ya masaa mawili tena na hata nikikaa na experience sana maomivu ya kiuno na nyonga na hii mishipa iliyo katikati ya mapaja.
Nimepima maradhi ya zinaa na UTI sina kabisa.
Naombeni ushauri .