Long'ututi
Member
- Dec 5, 2010
- 41
- 4
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani nina ngiri,nikikutana naye tu maumivu yanaisha hivyo inanifanya nisiwe nacheza mbali na mke wangu. Uume huwa haumi kutokana na mimi kuwazia mapenzi nikiwa safarini ila hunauma nikikaa bila kufanya mapenzi. Kuna tiba ya hili. Kuna dokta alinipa dawa akiniambia labda nimepata maambukizo bafuni au vyooni,nikajua labda kwa kuwa nalala hotelini nikiwa safarini au kazini choo ni cha wote. Kweli nilipona kwa muda kama miezi mitatu,sasa imejurudia tena na wife kasafiri. Naombeni ushauri wa tiba kama upo!
kijana gono limeingia kwenye mifupa, halionekani kwa vipimo vya kawaida, likipanda kwenye uti wa mgogo wafwaaaa!!! kinondoniii.....Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani nina ngiri,nikikutana naye tu maumivu yanaisha hivyo inanifanya nisiwe nacheza mbali na mke wangu. Uume huwa haumi kutokana na mimi kuwazia mapenzi nikiwa safarini ila hunauma nikikaa bila kufanya mapenzi. Kuna tiba ya hili. Kuna dokta alinipa dawa akiniambia labda nimepata maambukizo bafuni au vyooni,nikajua labda kwa kuwa nalala hotelini nikiwa safarini au kazini choo ni cha wote. Kweli nilipona kwa muda kama miezi mitatu,sasa imejurudia tena na wife kasafiri. Naombeni ushauri wa tiba kama upo!
EEEH! Mungu wangu! kweli akili za mwanadamu hazina kikomo!!!kama dawa yako ni kufanya mapenzi then jaribu kujichua uone itakuwaje...
sikutamani kucheka kwa tatizo la mwenzetu ila hii inanifanya nicheke!kijana gono limeingia kwenye mifupa, halionekani kwa vipimo vya kawaida, likipanda kwenye uti wa mgogo wafwaaaa!!! kinondoniii.....
mmmh! hii kitu iiki kitu iii!!!umefungwa kitaalam wewe, ni pm nikufungue, njoo na mbuzi jike jeupe bikra, bata mwekundu, machozi ya mende, supu ya mawe na Tsh 500 tu.