Naumwa sana na uume

Long'ututi

Member
Dec 5, 2010
41
4
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani nina ngiri,nikikutana naye tu maumivu yanaisha hivyo inanifanya nisiwe nacheza mbali na mke wangu. Uume huwa haumi kutokana na mimi kuwazia mapenzi nikiwa safarini ila hunauma nikikaa bila kufanya mapenzi. Kuna tiba ya hili. Kuna dokta alinipa dawa akiniambia labda nimepata maambukizo bafuni au vyooni,nikajua labda kwa kuwa nalala hotelini nikiwa safarini au kazini choo ni cha wote. Kweli nilipona kwa muda kama miezi mitatu,sasa imejurudia tena na wife kasafiri. Naombeni ushauri wa tiba kama upo!
 
Mh, pole sana. Haya sio maeneo yangu ngoja nitoke. Wataalamu wakiingia watakupa ushauri.
 
mmmh mkuu inaonyesha unapenda sana kufanya ngono?? je huwa kwa usiku mmoja unafanya tendo la ndoa mara ngapi???
 
nikusalimie tu maana shughuli zako inaelekea ziko juuuuuu..............................
 
Sasa mkuu unategemea docta wa Jf akuambie nini? na utajuaje kama aliye andika ni dactari wa ukweli na c wa kuchakachua? Go to hospita and seek for professional advice. Labda kama unapepo la mapenzi - also possible
 
pole sana aisee. labda ufanye mpango wa muda mrefu wa kubadili kazi zenu,ziwaweke pamoja kila wakati. otherwise, tafuta urologist, inawezekana ukawa na tatizo. unauma uume ama makende? na je maumivu yanatokana na erection ya muda mrefu?
 
pole sana, kama nimekusoma poa umesema kuwa ulipopewa dawa ulipona kwa kama miezi mitatu, sasa itakua vizuri kama ukimrudia huyo dokta akupe ushauri zaidi au tiba bora zaidi
 
rudi kamwone dokta aliyekupatia dawa ukapata nafuu kwa miezi 3 anaweza kufanya utafiti zaidi
 
Du nitambulishe kwa mkeo anipe hako kautaalamu kanafaa sana. Ila itabidi nikamodify ili hata ukienda kudo kwa mwanamke mwingine dudu ikuume! LOL
 
Duniani kuna magonjwa jamani, mama watoto analijua hilo? rudi kwa dokta wako mpe feedback atajua nn cha kufanya kitaalam, pole mwaya.
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani nina ngiri,nikikutana naye tu maumivu yanaisha hivyo inanifanya nisiwe nacheza mbali na mke wangu. Uume huwa haumi kutokana na mimi kuwazia mapenzi nikiwa safarini ila hunauma nikikaa bila kufanya mapenzi. Kuna tiba ya hili. Kuna dokta alinipa dawa akiniambia labda nimepata maambukizo bafuni au vyooni,nikajua labda kwa kuwa nalala hotelini nikiwa safarini au kazini choo ni cha wote. Kweli nilipona kwa muda kama miezi mitatu,sasa imejurudia tena na wife kasafiri. Naombeni ushauri wa tiba kama upo!

Utakuwa na gono sugu wewe!
Tatzo unajtibu mwenyewe tu unamsahau mkeo so the next session ukimvaa unatoka nalo tena, tatzo letu cc wanaumme ni wabnafsi sana, ebu fkiria gono umelileta mwenyewe hom ukamuambukiza mkeo so kwann ucvunje ukmya ukamwambia kuwa mwenzangu tunatatzo then let's go get cured vnginevyo km hufanyi hivyo utakula dozi mpaka ufe na kumbuka gono au kaswende lina madhara hasa kwa wanawake wanamiscarry always if they are STD enfected!
Mpeleke mwenzio hosptali na hao wengine uliowaingilia wote hapo utakuwa umesolve tatzo.
Baada ya hapo acha ulevi wa ngono. Lelax na mkeo mmoja na km ni ostaaaaz achana na wakezo watatu na vimada wote baksha mmoja.
Usiponisikiliza mm baaaasi jiandae kulivaa dondandugu!
 
umekwisha kijana, hapo ndo baaaasi tena lol pole.
usijali bwana ni tatizo dogo na utapona tu eeehhh baba, muone dr wako wa kwanza
 
umefungwa kitaalam wewe, ni pm nikufungue, njoo na mbuzi jike jeupe bikra, bata mwekundu, machozi ya mende, supu ya mawe na Tsh 500 tu.
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani nina ngiri,nikikutana naye tu maumivu yanaisha hivyo inanifanya nisiwe nacheza mbali na mke wangu. Uume huwa haumi kutokana na mimi kuwazia mapenzi nikiwa safarini ila hunauma nikikaa bila kufanya mapenzi. Kuna tiba ya hili. Kuna dokta alinipa dawa akiniambia labda nimepata maambukizo bafuni au vyooni,nikajua labda kwa kuwa nalala hotelini nikiwa safarini au kazini choo ni cha wote. Kweli nilipona kwa muda kama miezi mitatu,sasa imejurudia tena na wife kasafiri. Naombeni ushauri wa tiba kama upo!
kijana gono limeingia kwenye mifupa, halionekani kwa vipimo vya kawaida, likipanda kwenye uti wa mgogo wafwaaaa!!! kinondoniii.....
 
sikutamani kucheka kwa tatizo la mwenzetu ila hii inanifanya nicheke!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom