Naumizwa na mapenzi

Ukimpenda mtu usimuonyeshee kama hivyo kajua unampenda anakufanyia vituko Muombe Mungu tu atakusahaulisha usilie sana haujazaliwa naye huyo kuna maisha bada ya mapenzi acha mengine yaendelee mamy
 
Msikilize Iceman we mdada
 
"...mwanaume ni mwindaji na fahari ya mwindaji ni kubadili mawindo na kitoweo...."

African; The Land of Warriors
 
pole kwa kuumizwa na mapenzi ushauri wa bure tu tafuta kitu cha kufanya ambacho kitakuweka bz kingine penda kujichanganya na watu usipende kujifungia fungia peke yako na kulia lia ila maamuzi unayo ww kumpotezea au kuendelea naye huku ukiwa unaumia na mapenzi
 
Duuh,,,,,,pole hiyo hatua kila mtu lazima apitie mimi naumia sana kwa ajili huyu mrembo Me too
 
Very true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuu
1)brain imetulia
2)very romantic
3)very handsome
Ila kikubwa zaidi brain yake ana shule na kitaa


kwa maneno haya tu nahis wewe bado mdogo sana! achana nae jali yako fanya kazi kwa bidii mbn wanaume weng sana bidada?yaan unalia kwa sababu ya kiboyfriend?/hapana kwakweli! km kuna qaya aliwah kukufanyia liweke akilin mwako hilo itakupa wepesi kumsahau! tafutaza mabaya aliyokufanyia huna hata mwezi utamsahau! epuka lkbs kulia kwasababu ya boifrnd!
 
Dawa nimefika mama.
Njoo pm haraka kabla wagonjwa hawajaongezeka.
 
Mapenzi ya kuanzana utotoni sio mapenzi, bali ilikuwa utoto. Mwenzio katika ukubwa ndio kajua kupenda na kuwa wewe sio chaguo bali ilikuwa utoto. Tulia kwa muda utapata na wewe utagundua kuwa mapenzi ya kitoto hayakuwa mapenzi.
 
Usiwaze sana ukipata mda wa kupumzika wa pumzka na ukipata mda wa kufanya kazi Fanya kazi
Kuumizwa ktk Mapenzi ni moja wa sifa ya kuwa ktk mahusiano na ni ukubwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…