Naumizwa na mapenzi

Tunaweza Kumfungulia Kesi Ya Tort Of Nervous Shock Kama Unataka.
Hahahahaha Just Joking. Pole Sanaaaa!!
 
Achana na huyo kiumbe hupendwi hapo tusije skia binti madam kajitundika bure.
 
Very true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuu
1)brain imetulia
2)very romantic
3)very handsome
Ila kikubwa zaidi brain yake ana shule na kitaa
anhaa vuta subira utapata mwingine
 
Mi mama swalehe kaniacha na swalehe wangu mapenz bwana uwiiii
 
Dawa za maumivu zipo.
Meza diclofenac kama una maumivu ya kichwa, misuli nk yataisha
 
tumia dawa3 inatuliza maumivu na yakizd fata ushaur wa daktar
 
pambana na hali yako
huyo tayari ana fanya utaratibu wa kukuacha na wewe jiongeze, tafuta namna ya kumsahau, punguza kumtafuta, fanya mpango uondoe mawasiliano naye, fanya ishu nyingine ziku kip busy pia uwe open kukutana na watu wengine na tumia muda mwingina marafiki zako.
utajikuta hadi siku anakuja kukwambia rasmi muachanae una muaga fresh tu na unaendelea na life.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1498730394597.jpg
    34.4 KB · Views: 29
Humu utampata atakaye cover nafasi yake kama si leo basi ni kesho maana huku kuna madini utapata mwenye sifa hizo ulizotaja na pengine kuzidi, ki uzoefu kama pleyer mstaafu huyo jamaa mjanja mjanja unaweza tiwa mimba afu ukaja mpata ktk simu siku umezaa tena kujua tu umezaa mtoto afanana naye? Wa kike ama kiume? Usifuate ushauri wangu Tafadhali...
 
Mbona unajipa stress kwa mtu ambaye hata hakujali na kikubwa zaid anakuonyesha
 
halaf na wewe itabid nikufungulie uzi wewe
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1498511934005.jpg
    52 KB · Views: 39
Thanks for good advice
 
Haya ni majanga kwa kweli sijui huwa wanawazaga nini.. Mtu unaumia weeeeeee...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…