binti madam
Member
- Jul 1, 2017
- 32
- 10
Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa