Naumia sana nakosa la kufanya

Naumia sana nakosa la kufanya

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
629
Reaction score
1,442
Habari zenu wakuu,

Mimi nipo salama ninamshukuru Mungu. Naomba niende moja kwa moja kwa kilicho nifanya niaandike uzi huu ni muda mrefu takribani miaka 2 imepita tangu nilipo achana na mpenzi wangu ambae tulidumu nae kwa muda mrefu na mimi ndio nilikua mtu wa kwanza kufungua usichana wake.

Alitokea kunipenda sana zaidi ya nilivyokua nikimpenda mimi baada ya kumtumia kwa muda mrefu nikajikuta nimemchoka hivyo nikaanza kumfanyia vimbwanga ili tuachane matokeo yake akachoka na lengo langu likatimia. Baada ya kuachana nae nikaanza kufanya mchakato wa kupata msichana mwingine ambae angenifaa.

Hapo ndipo matatizo yalipo anza kila msichana niliemfuata alinikataa wengine hata kwa sababu zisizo za msingi. Nime hangaika sana mpaka ikafika kipindi nikaamua kuachana na kutongoza wanawake kwa sababu nilijikuta nikitumia gharama kubwa sana zisizo za msingi.

Sijajua tatizo ni nini kwa sababu kama sound zipo za kutosha, kipato kinaridhisha sijajua nina kosea wapi. Imefika kipindi napiga malaya tu ila hayo maisha yamenichosha na pia nina hatarisha afya yangu. Sijaandika uzi huu kwa lengo la kutafuta mpenzi bali naomba mnishauri nina kosea wapi ili nijirekebishe na nimpate mwanamke ninaye muhitaji.
 
hujui ulipokosea unadhani Mungu nimjinga aliekupa msichana mtulivu karne hii? ulihisi story za malalamiko kutoka kwa wanaume wenzio ni hekaya au? namuombea huyo binti apate mwanaume mwenye akili amuoe kabisa uzidi kuchanganikiwa.
Lakukushauri kwanza tubu kwa Mungu na kwa binti.
pili sikunyingine jifunze kutofautisha mavi na mkate.niujinga kuanzisha matatizo nawewe ndio mwanaume yani unategemewa kua baba.
 
habari zenu wakuu mimi nipo salama ninamshukuru mungu.naomba niende moja kwa moja kwa kilicho nifanya niaandike uzi huu ni muda mrefu takribani miaka 2 imepita tangu nilipo achana na mpenzi wangu ambae tulidumu nae kwa muda mrefu na mimi ndio nilikua mtu wa kwanza kufungua usichana wake. Alitokea kunipenda sana zaidi ya nilivyokua nikimpenda mimi baada ya kumtumia kwa muda mrefu nikajikuta nimemchoka hivyo nikaanza kumfanyia vimbwanga ili tuachane matokeo yake akachoka na lengo langu likatimia.
Baada ya kuachana nae nikaanza kufanya mchakato wa kupata msichana mwingine ambae angenifaa.Hapo ndipo matatizo yalipo anza kila msichana nile mfuata alinikataa wengine hata kwa sababu zisizo za msingi. Nime hangaika sana mpaka ikafika kipindi nikaamua kuachana na kutongoza wanawake kwa sababu nilijikuta nikitumia gharama kubwa sana zisizo za msingi. Sijajua tatizo ni nini kwa sababu kama sound zipo za kutosha, kipato kinaridhisha sijajua nina kosea wapi. Imefika kipindi napiga malaya tu ila hayo maisha yamenichosha na pia nina hatarisha afya yangu. Sijaandika uzi huu kwa lengo la kutafuta mpenzi bali naomba mnishauri nina kosea wapi ili nijirekebishe na nimpate mwanamke ninaye muhitaji.

Mkuu mtafute muombe kwanza msamaha.....haya maneno kamwambie ayajue kabisa....huenda hajakusahau na bado unamuumiza sana!
....Ila kwanin umchezee na kumtafutia sababu mtt wa mwenzio, km humpend si unamwambia tu.
 
Omba Mungu Wasira apitishwe atakushauri vizuri sana coz alishapatwa na janga kama lako na amelitatua, si umemwona first lady wako!!!!!
 
Ulipanda maharage unataka uvune mahindi? Unavuna ulichopanda rafiki hakuna namna ya kuepuka kukataliwa kwako mpaka uende ukamwombe radhi ili akuto3 moyoni mwake. Pole!!!
 
Kama una kazi piga kazi kama ni mfanya biashara piga mipango watajireta tu. kwa nini uende kwa malaya wakati wadada warembo wapo wengi na haawajiuzi? kwanza unajishushia heshima na utakufa siku si nyingi.


Cha mwisho wanawake wooooooote duniani ni sawa maana wanatongozwa kwa kudanganywa na kuamini....jipange na outing, tumia pesa yako kwa ustaarabu ukimpata usijioneshe una pesa saaana first date, mwaminishe kuwa unamipango ya maisha, Mwanamke akiamini unamipango ya maisha hata kama statement za benki hazisomi utampata.
 
Ila Pia endelea tu kutandika hao Malaya coz mkataa pema pabaya panamwita.
 
...kumbe ulimtumia u kwa muda wote huo...!! kamuombe msamaha huyo dada maana yawezekana machozi yake bado yanakuandama....malipo ni hapahapa!
 
Pole, hiyo ni lana ya yule msichana uliyomuacha bila kosa lolote, sio tu kwa sababu ulitoausichanawake hapana. Ni
vile ukumwamba ukweli, wewe baada yakumchoka ukaanza vituko vyako. ungemwambia ukweli usingepata lana yake.
kuna laana nyingi, ya wazazi ya mke n.k. rudi ukamweleze kwamba yeye hakukosea ila ulimchoka tuu. utaona mambo yako yatakuwa poa.

kana ka sngu
 
Labda utupie ka clip jinsi unavyotongoza mkuu.. unaweza kuwa huna swaga ila unajiona unaswaga.....

unaweza kuwa unafuata mademu siyo level yako nikiwa na maana ya kuwa kipato chako hakina mvuto..

sasa jiangalie tena
 
Sasa hata ukimpata mtu mpya hutamchezea then umwache? Maana kama huyo wa kwanza ulimchoka huyo wa pili utaacha je kumchoka?
Kamwombe msamaha kwa uliyoyafanya itakusaidia kufungua njia
 
labda utupie ka clip jinsi unavyotongoza mkuu.. unaweza kuwa huna swaga ila unajiona unaswaga.....

unaweza kuwa unafuata mademu siyo level yako nikiwa na maana ya kuwa kipato chako hakina mvuto..

sasa jiangalie tena

Zama nae pm zen utuletee mlishonyuma
 
Back
Top Bottom