Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 962
Wew kabila gan? Kabla sijaweka reference! Mm sisaidiani na ndugu wala mzee na naishi mpaka sahiv japo kwa shida lakin maisha yaende tu siku ya kufa Ije nikapunzike. Lakin mambo mengine huwez kuyamaliza mana umezaliwa umeyakutaMzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.
Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,
Niasaidieni, kifua kimekaba hatari๐๐๐
Nakubaliana na wewe kaka, apambane jamaa hata kama kiwanja cha laki 9 unayo anunue mzee patamfaa huko mbeleNinasikitika sana kuona vijana kama nyinyi msioamini kwenye uwezo wenu...
Tafuta chako, Jifunze kujitegemea, #off family matters!!
Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......Ninasikitika sana kuona vijana kama nyinyi msioamini kwenye uwezo wenu...
Tafuta chako, Jifunze kujitegemea, #off family matters!!
Dah inasikitisha mpk unasubir siku ya kufa ifike ili ufeWew kabila gan? Kabla sijaweka reference! Mm sisaidiani na ndugu wala mzee na naishi mpaka sahiv japo kwa shida lakin maisha yaende tu siku ya kufa Ije nikapunzike. Lakin mambo mengine huwez kuyamaliza mana umezaliwa umeyakuta
Ugomvi kwa nani mzee mbona una akili za kijamaa kwenye dunia ya kibepari?Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Kuishi mkuu tafsiri nyepes ni kusubiria kufa mana dunian hakuna kitu kipya mzee. Fanya utafiti binafs hata kama sio leoDah inasikitisha mpk unasubir siku ya kufa ifike ili ufe
Achana na hizo habari mkuu, Ishi maisha yako, Ukifa umekufa, Na huji kukikwepa kifo..!!Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Kwani kuna kitu mlimpa huyo mzee?Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Dunia ya kibepari haina ndugu wala rafiki watu ukiwapa nafasi wanakushangaza vizuri kabisa. Kama unajenga misingi kwa familia ijenge tu. Familia nyingine haziungani mana kuna baadhi ya ndugu tumbo moja hawana sifa ya kuhurumiana wao kwa waoAchana na hizo habari mkuu, Ishi maisha yako, Ukifa umekufa, Na huji kukikwepa kifo..!!
Waachie maarifa hao waliopo "Mkeo ama Wanao" ya kujiongoza hata usipokuwepo, waandikie na barua za Mirathi mapema wasisumbuliwe ukifa...!!View attachment 3142591
Angalau moto umetoka kifuani๐๐๐Maisha yako yanakuhusu wewe mwenyewe sio mtu mwingine, ishi maisha yako na usijilinganishe na wengine
Kwamba unatafuta mali zako alafu unamuachia mzee wako au mim sijaelewaMzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.
Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,
Niasaidieni, kifua kimekaba hatari๐๐๐
Mzee anaweza akawa hakua na upeo huo na pengine bado hana.Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.
Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,
Niasaidieni, kifua kimekaba hatari๐๐๐